Yanga Mpya

Yanga Mpya Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Yanga Mpya, Sports, Dar es Salaam.

𝗣𝗥𝗘 𝗦𝗘𝗔𝗦𝗢𝗡🔰 Mapambano ya kujiandaa na msimu mpya yanazidi kushika kasi🔥🙌🏾
21/08/2021

𝗣𝗥𝗘 𝗦𝗘𝗔𝗦𝗢𝗡🔰

Mapambano ya kujiandaa na msimu mpya yanazidi kushika kasi🔥🙌🏾


21/08/2021

KUELEKEA SIKU YA WANANCHI TAREHE 29/08/2021 PALE KWA MKAPA ...!

Zanzibar tukutane jumapili ya kesho 22.08.2021 kwenye Uzinduzi wa Wiki ya Mwananchi 2021 ndani ukumbi wa ya ZSSF kuanzia...
21/08/2021

Zanzibar tukutane jumapili ya kesho 22.08.2021 kwenye Uzinduzi wa Wiki ya Mwananchi 2021 ndani ukumbi wa ya ZSSF kuanzia saa 2 asubuhi kwa matembezi ambayo yataanzia Kariakoo mpaka CCM kisiwandui.


Kuelekea Uzinduzi wa wiki ya mwananchi kesho Zanzibar. Leo Viongozi wa Yanga wamekabidhi magodoro 30 ya chapa GSM kwa ho...
21/08/2021

Kuelekea Uzinduzi wa wiki ya mwananchi kesho Zanzibar. Leo Viongozi wa Yanga wamekabidhi magodoro 30 ya chapa GSM kwa hospitali za Mwembeladu na Mnazi Mmoja Zanzibar.

Magodoro hayo yamepokelewa na Mhe. Riziki Pembe Juma Waziri wa Ardhi na Maendeleo ya Makazi.



SINGIDA 🚐 DODOMA 🚐 MOROGOROGari maalum la jezi linaendelea kuzunguka mikoani kwa bei punguzo, na leo ni zamu ya Singida,...
21/08/2021

SINGIDA 🚐 DODOMA 🚐 MOROGORO

Gari maalum la jezi linaendelea kuzunguka mikoani kwa bei punguzo, na leo ni zamu ya Singida, Dodoma na Morogoro, ambapo litapita kwenye maeneo tofauti k**a Isuna, Manyoni, Bahi, Dodoma Mjini, Mtumba, Gairo, Maguha, Dakawa na Morogoro Mjini, ukiliona gari letu lisimamishe tukuhudumie.

kwa mawasiliano zaidi piga au tuma sms namba 0713294178, 0715407549

Wahi ofa hii sasa.

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Yanga Mpya posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category