Sports newz

Sports newz Taarifa kem kem za michezo kutoka pande zote za ulimwengu

Wauaji wa manchester united, wakamweka maguire nje lakin wapi   Half time man city 4_0 man u
02/10/2022

Wauaji wa manchester united, wakamweka maguire nje lakin wapi
Half time man city 4_0 man u

FULL TIME SIMBA 2_2 KMC.....Mimi sio coach wala sio mchambuzi lakin Sidhani k**a coach alitakiwa kuweka washambuliaj wen...
07/09/2022

FULL TIME SIMBA 2_2 KMC.....Mimi sio coach wala sio mchambuzi lakin Sidhani k**a coach alitakiwa kuweka washambuliaj wengi vile zaidi nilitamani kuona akiongeza ubunifu eneo la kiungo kumuweka mtu k**a NELSON OKWA nahisi ingekua bora zaidi kuliko maamuzi aliyoamua, but all in all full time SIMBA 2_2 KMC

Klabu ya Simba leo Septemba 06, 2022 wamethibitisha kufikia makubaliano ya pande zote mbili ya kuvunja mkataba na Kocha ...
06/09/2022

Klabu ya Simba leo Septemba 06, 2022 wamethibitisha kufikia makubaliano ya pande zote mbili ya kuvunja mkataba na Kocha Mkuu wa kikosi Zoran Maki.

Vilevile Simba wamefikia makubaliano ya kusitisha mkataba ya Kocha wa viungo
Bai Karim na Kocha wa makipa Mohammed Rachid.

newz

πŸ“ πƒπŽππ„ 𝐃𝐄𝐀𝐋: Klabu ya Abha inayoshiriki ligi kuu Saudi Arabia imekamilisha usajili wa winga Luis Miquissone (27) raia wa...
02/09/2022

πŸ“ πƒπŽππ„ 𝐃𝐄𝐀𝐋: Klabu ya Abha inayoshiriki ligi kuu Saudi Arabia imekamilisha usajili wa winga Luis Miquissone (27) raia wa Msumbiji kwa mkopo wa msimu mmoja kutoka Al Ahly SC.

newz

πŸ’₯ Fiston MayeleπŸ‡¨πŸ‡© ameongeza mkataba wa miaka miwili kusalia Yanga mpaka 2024
01/09/2022

πŸ’₯ Fiston MayeleπŸ‡¨πŸ‡© ameongeza mkataba wa miaka miwili kusalia Yanga mpaka 2024

πŸ†• tuisila kisinda is green πŸ’š and yellow πŸ’› yes ni mwananchi tena ⚽⚽⚽
31/08/2022

πŸ†• tuisila kisinda is green πŸ’š and yellow πŸ’› yes ni mwananchi tena ⚽⚽⚽

πŸ†• tuisila kisinda is green πŸ’šand yellow πŸ’› yes ni mwananchi tena ⚽⚽⚽⚽
31/08/2022

πŸ†• tuisila kisinda is green πŸ’šand yellow πŸ’› yes ni mwananchi tena ⚽⚽⚽⚽

Antony Matheus dos Santos ni mchezaji wa Manchester United akitokea Ajax kwa mkataba wa miaka mitano wenye kipengele cha...
30/08/2022

Antony Matheus dos Santos ni mchezaji wa Manchester United akitokea Ajax kwa mkataba wa miaka mitano wenye kipengele cha kuongeza mwaka mmoja zaidi hadi 2028.

newz

Anaitwa miguel escobar_nationality:πŸ‡¦πŸ‡· argentina-position: kiungo mshambuliaj Rasmi ni mali ya SINGIDA BIG STARS πŸ™ŒπŸ™Œ
26/08/2022

Anaitwa miguel escobar
_nationality:πŸ‡¦πŸ‡· argentina
-position: kiungo mshambuliaj

Rasmi ni mali ya SINGIDA BIG STARS πŸ™ŒπŸ™Œ

πŸ†•: UEFA CHAMPIONS LEAGUE GROUPS...   chama lako liko kundi gani???? Jibu baki nalo ⚽⚽⚽
25/08/2022

πŸ†•: UEFA CHAMPIONS LEAGUE GROUPS...
chama lako liko kundi gani???? Jibu baki nalo ⚽⚽⚽

πŸ†• za ndaani mesut ozil Ozil ameachana na fernabache na sasa rasmi mesut ozil n free agent ⚽⚽⚽
13/07/2022

πŸ†• za ndaani mesut ozil Ozil ameachana na fernabache na sasa rasmi mesut ozil n free agent ⚽⚽⚽

πŸ†• fc barcelona wamethibitisha rasmi kuinasa saini ya mchezaji raphinha kutoka Leeds united kwa dau la $46MFollow me on i...
13/07/2022

πŸ†• fc barcelona wamethibitisha rasmi kuinasa saini ya mchezaji raphinha kutoka Leeds united kwa dau la $46M

Follow me on instagram as Haroun06_tz kwa taarifa kem kem za michezo

Address

Dar Es Salaam

Telephone

+255742888737

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Sports newz posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Sports newz:

Share

Category