Amour Said Zaid

Amour Said Zaid Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Amour Said Zaid, Dar es Salaam.

Karibu kwa Habari za Hivi Punde, Pia Tunadizaini Logo/Nembo, Stika, Tunaedit Picha & Video, Kutengeneza Vitambulisho, Kuseti Akaunti za Mitandao ya Kijamii, N.K

05/08/2026

πŸ‘‰πŸΌUnataka Kuwa Msafi Bila Kuoga? Maelekezo ya CHATGPTπŸ˜„πŸ™ŒπŸΌ
πŸ’™

04/08/2026

πŸ‘‰πŸΌIla Kumtegemea CHATGPTπŸ˜„πŸ™ŒπŸΌ
πŸ’™

31/07/2026

πŸ‘‰πŸΌJe, Biashara Yako haihitaji kutangazwa Kisasa zaidi? Karibu Az Designings tupandishe hadhi Biashara yako kwa Matangazo Bora zaidi ya KisasaπŸ”₯.

30/07/2026

πŸ₯΄
γ‚šviralγ‚·

04/06/2026

🚨USIKIMBILIE KUTAKA KULIPWA FACEBOOK KABLA YA KUJUA HILI! πŸ‘‰πŸΌUmekuwa ukihangaika kupost kila siku lakini dashboard yako bado inasoma sifuri? Shida sio Facebook, shida inaweza ikawa ni makosa makubwa matatu (3) unayofanya kwenye settings, mada, au hadhira yako bila wewe kujua.
Kwenye video hii, nimevunja ukweli wote uliokuwa huujui!🀫

πŸ‘‡Swali kwako: Umeshafikia vigezo gani hadi sasa kwenye akaunti yako? Weka comment yako hapo chini, na k**a uko tayari kwa video inayofuata Andika neno "NIPO TAYARI". Nataka Tukuze Akaunti Zetu Pamoja Kuanzia Sasa...

πŸš€ Kuna kitu kikubwa kinakuja! UPO TAYARIβ‰οΈπŸ‘‰πŸΌIko Hiviii, Kwa muda mrefu nimekuwa nikijifunza na kufanya kazi na mitandao ...
04/06/2026

πŸš€ Kuna kitu kikubwa kinakuja! UPO TAYARI⁉️
πŸ‘‰πŸΌIko Hiviii, Kwa muda mrefu nimekuwa nikijifunza na kufanya kazi na mitandao ya kijamii kupitia Page Mbalimbali, hasa Facebook.

πŸ‘‰πŸΌKuna Watu wanatumia Facebook kwa Bando zao bila Kuingiza Chochote na Kuna Wanaotumia Facebook kujipatia kipato cha Juu zaidi. Yaani Kila unachopost kikuingizie pesa,

Kuanzia sasa, nitaanza kukupa mbinu, siri na maarifa kuanzia mwanzo kabisa yatakayokusaidia kuelewa:

βœ… Jinsi ya Kutumia Facebook kuingiza kipato cha Ziada,
βœ… Mbinu za Kufanya Uanze Kulipwa Facebook
βœ… Jinsi ya kutengeneza Content inayovutia
βœ… Makosa 3 yanayoua page /Account yako.
βœ… Faida za Comments na Likes
βœ… Kwanini Baadhi ya Post zinapata Likes na Comments nyingi na Nyingine zinapata kidogo sana,
βœ… Ni Muda gani mzuri wa Kupost Facebook
βœ… Na Mengine mengi...πŸŽ‰

🚨Kama unataka kuanza Kujifunza hayo na Mengineyo Mengi, kuanzia sasa hakikisha unakaa karibu na ukurasa huu kwa KuFollow, Kisha andika "π—‘π—œπ—£π—’ 𝗧𝗔𝗬𝗔π—₯π—œ" kwenye comments k**a upo tayari kujifunza. πŸ‘‡

π—›π—”π—©π—¨π— π—œ π—žπ—œπ—£π—œπ—‘π——π—œ 𝗖𝗛𝗔 π—¨π—¦π—”π—π—œπ—Ÿπ—œ, π—¦π—¨π—•π—œπ—₯π—œ π—Ÿπ—œπ—šπ—œ π—œπ—”π—‘π—­π—˜: ⏩Kipindi Hiki cha Usajili Akikosekana Mchezaji ambaye Wanalunyasi wanamta...
13/08/2025

π—›π—”π—©π—¨π— π—œ π—žπ—œπ—£π—œπ—‘π——π—œ 𝗖𝗛𝗔 π—¨π—¦π—”π—π—œπ—Ÿπ—œ, π—¦π—¨π—•π—œπ—₯π—œ π—Ÿπ—œπ—šπ—œ π—œπ—”π—‘π—­π—˜: ⏩Kipindi Hiki cha Usajili Akikosekana Mchezaji ambaye Wanalunyasi wanamtaka Analaumiwa Tajiri, Akipatikana Mchezaji wa Maana Anapewa Heko Tajiri, Ila Ligi Ikianza na Usajili ukawa Haujalipa, lawama anatupiwa Mzee Mangungu Mwenyekiti wa Timu, NyieeeπŸƒπŸΌπŸ€£
FOLLOWπŸ‘‰πŸΎ
FOLLOWπŸ‘‰πŸΎ
FOLLOWπŸ‘‰πŸΎ

⏩Timu ya Wananchi Yanga imesaini mkataba wa udhamini na Kampuni ya Haier wenye thamani ya Tshs Bilioni 3.3 kwa mkataba w...
07/08/2025

⏩Timu ya Wananchi Yanga imesaini mkataba wa udhamini na Kampuni ya Haier wenye thamani ya Tshs Bilioni 3.3 kwa mkataba wa miaka mitatu ambapo Logo ya Haier itakaa kwenye mkono wa jezi upande wa kushoto.
FOLLOWπŸ‘‰πŸΎ
FOLLOWπŸ‘‰πŸΎ
FOLLOWπŸ‘‰πŸΎ

⏩Kwa Upande wako, Mchezaji gani amekuwa Nyota wa Mchezo Leo Tanzania dhidi ya Mauritaniaβ‰οΈβš½πŸ”₯FOLLOWπŸ‘‰πŸΎ FOLLOWπŸ‘‰πŸΎ FOLLOWπŸ‘‰πŸΎ  ...
06/08/2025

⏩Kwa Upande wako, Mchezaji gani amekuwa Nyota wa Mchezo Leo Tanzania dhidi ya Mauritaniaβ‰οΈβš½πŸ”₯
FOLLOWπŸ‘‰πŸΎ
FOLLOWπŸ‘‰πŸΎ
FOLLOWπŸ‘‰πŸΎ

π™…π™Šπ˜½ π™‰π˜Ώπ™π™‚π˜Όπ™„ π˜Όπ™ˆπ™€π™π˜Όπ™π™„π™†π™„ π˜Ώπ™π™‰π™„π˜Ό: ⏩Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Tulia Ackson (Mb) anasikitika kutang...
06/08/2025

π™…π™Šπ˜½ π™‰π˜Ώπ™π™‚π˜Όπ™„ π˜Όπ™ˆπ™€π™π˜Όπ™π™„π™†π™„ π˜Ώπ™π™‰π™„π˜Ό: ⏩Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Tulia Ackson (Mb) anasikitika kutangaza kifo cha Spika Mstaafu na aliyekuwa Mbunge wa Kongwa Mheshimiwa Job Yustino Ndugai, kilichotokea leo tarehe 06 Agosti, 2025 Jijini Dodoma.

πŸ—£οΈ"Kwa masikitiko makubwa, naomba kutoa taarifa ya kifo cha kiongozi wetu, mwanasiasa mkongwe na Spika Mstaafu wa Bunge Mheshimiwa Job Yustino Ndugai kilichotokea leo jijini Dodoma.

β€œNatoa pole kwa familia ya Marehemu, ndugu, jamaa na VWananchi wa Jimbo la Kongwa, Mwenyezi Mungu awape moyo wa uvumilivu na subira katika kipindi hiki kigumu." -Amesema Dr.Tulia.
FOLLOWπŸ‘‰πŸΎ
FOLLOWπŸ‘‰πŸΎ
FOLLOWπŸ‘‰πŸΎ

Address

Dar Es Salaam

Telephone

+255623892825

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Amour Said Zaid posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Amour Said Zaid:

Shortcuts

Share