30/09/2025
Mashindano ya wazi ya kuogelea watu wazima Tanzania mzima yalifanyika jijini Dar Es Salaam na kuhudhuliwa na wachezaji kutoka vilabu vya kuogelea si nchi nzima .Bado tunahimiza watu wazima wengi kujitokeza kwa wingi kwenye mashindano ya kuogelea kwani michezo ukiachana kushindana pia uhimalisha afya kwa ujumla .Niwakaribishe kujiunga na mazoezi ya kuogelea .Tunaunganishwa na maji