Mck Sport updates

Mck Sport updates Pata taarifa za usajili na makala za michezo
One thing about football is not all bout football ni follow instagram k**a

Pacome bado hajasaini mkataba na Yangq Sc licha ya Yanga Sc kumuita mezani lakini ameuambia uongozi usubiri mpaka msimu ...
18/06/2025

Pacome bado hajasaini mkataba na Yangq Sc licha ya Yanga Sc kumuita mezani lakini ameuambia uongozi usubiri mpaka msimu utakapo tamatika

Lakini pia kambi ya Pacome imepokea ofa kubwa kutoka kwa Simba Sc ili kuweza kupata huduma ya mchezaji huyo raia wa Ivory Coast

Shirikisho la Mpira wa miguu Tanzania (TFF) wamekanusha taarifa ya meneja habari na mawasiliano wa Yanga Sc Ali Kamwe ku...
10/06/2025

Shirikisho la Mpira wa miguu Tanzania (TFF) wamekanusha taarifa ya meneja habari na mawasiliano wa Yanga Sc Ali Kamwe kuwa klabu yao inaidai TFF bali ni TFF ndio wanaoidai Yanga Sc

🚨| UPDATE: IBRAHIMA KEITA- Klabu ya Yanga SC imewasiliana na Menejimenti ya beki wa kulia wa TP Mazembe, Ibrahima Keita ...
10/06/2025

🚨| UPDATE: IBRAHIMA KEITA

- Klabu ya Yanga SC imewasiliana na Menejimenti ya beki wa kulia wa TP Mazembe, Ibrahima Keita (24) na mazungumzo rasmi yameanza

- Keita anamaliza mkataba wake na TP Mazembe mwishoni mwa msimu huu, pia Esperance de Tunis wanavutiwa na huduma yake.

🚨| UPDATE: KIBU DENIS PROSPER✍🏻Klabu ya Simba SC imewasiliana na klabu ya Kaizer Chiefs kuwa haitafanya biashara ya kumu...
10/06/2025

🚨| UPDATE: KIBU DENIS PROSPER

✍🏻Klabu ya Simba SC imewasiliana na klabu ya Kaizer Chiefs kuwa haitafanya biashara ya kumuuza winga wao Kibu Denis (26) kwenda Amakhosi

Simba SC imeeleza kuwa hawana nia ya kumuachia mchezaji huyo kwakuwa bado wana malengo nae kwa msimu ujao.

CATCH THEM IF YOU CAN Yanga wanashinda mechi ya nne mfululizo baada ya kupoteza mchezo dhidi ya Ihefu Huyu lomalisa asee...
20/12/2022

CATCH THEM IF YOU CAN

Yanga wanashinda mechi ya nne mfululizo baada ya kupoteza mchezo dhidi ya Ihefu

Huyu lomalisa aseee k**a wamemtia ndimu anazidi kunoga tu kila uchao anakila sifa za beki wa pembeni tena wa kisasa alikuwa na Top performance sana leo

Mayele anaendeleza alipoishia goli mbili safi anafikisha jumla ya mabao 13 , Aziz ki anatoa Assit 2 na Top performance

Fei toto anadhidi kujiongezea thamani leo kafunga bao moja na kufikisha mabao sita na assit mbili

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mck Sport updates posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share