Tanzania sports HD

Tanzania sports HD All about sports HD in Tanzania

23/02/2026

πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯

07/02/2026

OSIMANE πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯

06/02/2026

WHAT A SAVE!!!!!πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯

03/02/2026
03/02/2026

Young Africans Sports Club
Simba SC Tanzania

03/02/2026

TUJIKUMBUSHE KIDOGO πŸ˜€πŸ˜ƒπŸ˜€πŸ™ƒ

SKAUTI MKUU WA SIMBA AJIUZULU, Mels Dalder raia wa Uholanzi ambaye ni Chief Scout wa Simba ametangaza kupitia ukurasa wa...
04/10/2025

SKAUTI MKUU WA SIMBA AJIUZULU, Mels Dalder raia wa Uholanzi ambaye ni Chief Scout wa Simba ametangaza kupitia ukurasa wake wa Instagram kujiuzulu wadhfa wake ndani ya Simba huku akiweka wazi kuwa sababu hajioni k**a anapita njia moja na mwelekeo wa Klabu kwasasa, yaani yeye ana vision nyingine ila kinachofanyika ni kingine.

Kwa mujibu wa taarifa ni kuwa hata uteuzi wa Kocha Dimitr Pundev ulipingwa wazi na Skauti Mkuu maana yeye ndio alikuwa wa kwanza kugundua kuwa Kocha hana vigezo na aliwasilisha Klabuni ila tayari Klabu ilikuwa tayari imefanya maamuzi tena ya Mtu mmoja tu huku tayari wakiwa wamelipa gharama zote.

Taarifa zaidi ni kuwa cheo alichopewa Dimitr ni kuzibia BLANDA iliyofanyika na wala haukuwa mpango wa Klabu hivyo baadhi wanaamua kujiengua mmoja baada ya mwingine.

KOCHA MKUU Simba SC Tanzania
03/10/2025

KOCHA MKUU Simba SC Tanzania

21/09/2025


🚨🚨 BREAKING:Usiku huu Ateba ameaga na kuondoka kwenya kambi ya Simba pale Misri.It’s Over kati ya Simba na Ateba.Naby Ca...
15/08/2025

🚨🚨 BREAKING:Usiku huu Ateba ameaga na kuondoka kwenya kambi ya Simba pale Misri.

It’s Over kati ya Simba na Ateba.

Naby Camara amechukua nafasi ya Ateba kwenye orodha ya wachezaji wa kigeniπŸ–οΈ

15/08/2025

BALOTELI πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯
Tanzania sports HD
Highlights

@

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Tanzania sports HD posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share