Pundit Domson

Pundit Domson Love sports

Page yetu instagram
13/11/2021

Page yetu instagram

06/11/2021
Saa 2:00 usiku wa leo klabu ya Simba itamtangaza kocha wake mkuu mpya .SaSA FANYA KUFOLLOW PAGE YA MICHEZO ILI UWE WA KW...
06/11/2021

Saa 2:00 usiku wa leo klabu ya Simba itamtangaza kocha wake mkuu mpya .

SaSA FANYA KUFOLLOW PAGE YA MICHEZO ILI UWE WA KWANZA KUMJUA

FOLLOW PAGE YA MICHEZO KWA TAARIFA INAYOITWA PUNDIT DOMSON

Enock Inonga mlinzi wa Simba SC amepigwa faini ya Tsh 1,000,000 na atakosa mechi tatu kwa kosa la kumpiga kichwa mchezaj...
06/11/2021

Enock Inonga mlinzi wa Simba SC amepigwa faini ya Tsh 1,000,000 na atakosa mechi tatu kwa kosa la kumpiga kichwa mchezaji wa Coastal Union.

Inonga atazikosa mechi zifuatazo za timu yake :

Ruvu Shooting vs Simba SC
Simba SC vs Yanga SC
Simba SC vs Geita Gold

U*i mpya wa BIASHARA UNITED
06/11/2021

U*i mpya wa BIASHARA UNITED

  TETESI AMBAZO ZINAZAGAA KUHUSU CLATOUS CHAMA KURUDI TANZANIA KATIKA KLABU YANGA TAARIFA SIO ZA KWELI NI VIJIMANENO TU ...
05/11/2021



TETESI AMBAZO ZINAZAGAA KUHUSU CLATOUS CHAMA KURUDI TANZANIA KATIKA KLABU YANGA TAARIFA SIO ZA KWELI NI VIJIMANENO TU ILI KUCHANGAMSHA UPEPO WA KIMICHEZO

- Golikipa wa Arsenal Aaron ameitwa kwenye kikosi cha timu ya taifa ya England 🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 🔥
04/11/2021

- Golikipa wa Arsenal Aaron ameitwa kwenye kikosi cha timu ya taifa ya England 🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 🔥

Official ; Klabu ya Manchester Utd umethibitisha kuwa itamkosa mlinzi wao wa kati Raphael Varane kwa takribani mwezi mmo...
04/11/2021

Official ; Klabu ya Manchester Utd umethibitisha kuwa itamkosa mlinzi wao wa kati Raphael Varane kwa takribani mwezi mmoja kutokana na kuuguza majeraha.

Mlinzi wa klabu ya Azam fc Daniel Amoah 🇬🇭 amwongeza mkataba wa miaka miwili (2) kuendelea kuitumikia klabu ya Azam fc.
04/11/2021

Mlinzi wa klabu ya Azam fc Daniel Amoah 🇬🇭 amwongeza mkataba wa miaka miwili (2) kuendelea kuitumikia klabu ya Azam fc.

Address

Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Pundit Domson posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category