Mtu Mbadi

Mtu Mbadi Ukurasa wa michezo na burudani

https://youtu.be/Sg1A4NKLvrY
30/09/2021

https://youtu.be/Sg1A4NKLvrY

cheki watalii walivyozimia baada ya kuona manyoka ya msitu wa amazoni hii ni zaidi ya the story book ya wasafi | jamari april hampati mtiga abdallah

https://youtu.be/l9HDgCuodCk
30/09/2021

https://youtu.be/l9HDgCuodCk

Ngoma mpya ya imrmfunika msanii mpya wa music | amefanya balaa kwenye video aigiza k**a doctor | karudi ras...

Huu sio mwili wangu Yanga wamenikondesha sana- Dullah Makabila Neno moja kwake
19/04/2021

Huu sio mwili wangu Yanga wamenikondesha sana- Dullah Makabila

Neno moja kwake

Anasema Tumpe salamu Dube Imekuwa ni vita ya Bocco , Kagere , Dube na Idd Nado Nyota wanne kutokea Simba Na Azam katika ...
18/04/2021

Anasema Tumpe salamu Dube

Imekuwa ni vita ya Bocco , Kagere , Dube na Idd Nado Nyota wanne kutokea Simba Na Azam katika vita ya kuwania tuzo ya mfungaji bora.

Ikumbukwe Kagere amekuaa mfungaji wa VPL mfululizo je Atatwaa tena msimu huu..?
Dube naye amekuja na style ya kipekee kila mtu ashinde mechi zake..๐Ÿ˜†

All in All Bocco ndo mfungaji wa mda wote wa VPL

Karata yako unaitupa kwa nani katika hii vita

Mechi 3 za Yanga mwezi huu kabla ya kukutana na Simba.Unahisi Wanainchi wataendelea kuwa na Bundi au Gari litawaka Mara ...
15/04/2021

Mechi 3 za Yanga mwezi huu kabla ya kukutana na Simba.

Unahisi Wanainchi wataendelea kuwa na Bundi au Gari litawaka Mara tarehe17/4 ?

kitaalam tunaitaje ๐Ÿ˜Fraga Atarejea Muda wowote msimbazi na Simba Tayari ina Lwanga unahisi nani atakua anamueka bench mw...
15/04/2021

kitaalam tunaitaje ๐Ÿ˜

Fraga Atarejea Muda wowote msimbazi na Simba Tayari ina Lwanga unahisi nani atakua anamueka bench mwenzie

14/04/2021

Inategemea Ntu na Ntu
Air Msumbiji ikielea angani..๐Ÿ˜

Sio CAF tu ata VPL mwamba Amekua Adui wa timu pinzani kila ukikutana na Simba.

Mpambanaji mwenye kipaji hil halina ubishi

Mpe neno moja konde boy ๐Ÿ˜

Chama anasema Hawasikiii..๐Ÿ˜Kuna yoyote ambaye bado anawasiwasi na kiwango cha huyu mwamba .?Soka flani la taratibu  k**a...
14/04/2021

Chama anasema Hawasikiii..๐Ÿ˜

Kuna yoyote ambaye bado anawasiwasi na kiwango cha huyu mwamba .?
Soka flani la taratibu k**a hataki ila ukijisahau tu kakuadhibu

Ameifanya simba itulie iwe k**a ipo mazoezini leo๐Ÿ˜

Kwenu mnamuitaje..?

Kagere anasema hawaoni ๐Ÿ˜Top scorer (10  goals)Leo mwamba Ameingia kambani mara mbili nakusaidia kuipa ushindi Timu yake ...
14/04/2021

Kagere anasema hawaoni ๐Ÿ˜

Top scorer (10 goals)
Leo mwamba Ameingia kambani mara mbili nakusaidia kuipa ushindi Timu yake wa goli tano(5-0) dhidi ya mtibwa.

Vipi Next match aanze au ampishee Mugalu..?

Address

Migos
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mtu Mbadi posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share