SokaPalace

SokaPalace KARIBU KWENYE IKULU YA SOKA

23/04/2023

Sikiliza tambo za mashabiki wa Simba baada ya kuibuka na ushindi jana.

Timu kwa nchi zilizosalia katika nusu fainali ya Uropa:๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡น Italia: 5 (Fiorentina, Juventus, Roma, Inter Milan, AC Milan)๐Ÿด...
21/04/2023

Timu kwa nchi zilizosalia katika nusu fainali ya Uropa:

๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡น Italia: 5 (Fiorentina, Juventus, Roma, Inter Milan, AC Milan)
๐Ÿด๓ ง๓ ข๓ ฅ๓ ฎ๓ ง๓ ฟ Uingereza: 2 (West Ham, Man City)
๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ธ Uhispania: 2 (Sevilla, Real Madrid)
๐Ÿ‡ฉ๐Ÿ‡ช Ujerumani: 1 (Leverkusen)
๐Ÿ‡ณ๐Ÿ‡ฑ Uholanzi: 1 (AZ Alkmaar)
๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ญ Uswizi: 1 (Basel)

Inter (UCL)โœ…Milan (UCL)โœ…Roma (UEL)โœ…Juve (UEL)โœ…Fiorentina (UECL)โœ…Italia imeingiza timu tano kwenye hatua ya nusu fainali ...
21/04/2023

Inter (UCL)โœ…
Milan (UCL)โœ…
Roma (UEL)โœ…
Juve (UEL)โœ…
Fiorentina (UECL)โœ…

Italia imeingiza timu tano kwenye hatua ya nusu fainali katika mashindano ya Ulaya ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡น

Sevilla (2018), Barcelona (2019), Sevilla (2020), Villarreal (2021), Atlรฉtico Madrid (2022), Sevilla (2023).Kwa mara ya ...
21/04/2023

Sevilla (2018), Barcelona (2019), Sevilla (2020), Villarreal (2021), Atlรฉtico Madrid (2022), Sevilla (2023).

Kwa mara ya 6 mfululizo klabu kutoka La Liga inaiondoa Manchester United.

Ikitokea Aishi Manula anakosekana mechi vs Wydad CA robo fainali ya  , nani ungependa kumuona langoni ?ALLY SALIM     'M...
20/04/2023

Ikitokea Aishi Manula anakosekana mechi vs Wydad CA robo fainali ya , nani ungependa kumuona langoni ?ALLY SALIM 'M au KAKOLANYA

๐Ÿซ  Michezo 17 ya mwisho ya Frank Lampard k**a meneja:โŒ  Lost 2-1โŒ  Lost 2-0โŒ  Lost 1-0โŒ  Lost 2-0โŒ  Lost 2-1โŒ  Lost 3-1โŒ ...
20/04/2023

๐Ÿซ  Michezo 17 ya mwisho ya Frank Lampard k**a meneja:

โŒ Lost 2-1
โŒ Lost 2-0
โŒ Lost 1-0
โŒ Lost 2-0
โŒ Lost 2-1
โŒ Lost 3-1
โŒ Lost 4-1
๐Ÿค Drew 1-1
โŒ Lost 2-1
โŒ Lost 3-0
โŒ Lost 4-1
โŒ Lost 2-0
๐Ÿค Drew 0-0
โœ… Won 3-0
โŒ Lost 1-0
โŒ Lost 2-0
โŒ Lost 2-1
โŒ Lost 2-0

20/04/2023

Mchezaji wa kimataifa wa Congo ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฉ Fiston Mayele amefichua kwamba mchezaji wa Simba Sc Mzamiru Yassin alimpigia simu baada ya mechi na kumuona radhi kwa rafu ambayo alimchezea huku akisema haikuwa makusudi.

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when SokaPalace posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category