Bocca Boxing Club

Bocca Boxing Club Established 2014. Bocca Gym Kambi Moto

My plan was not to fight but after losing many important things, i returned to the street. I kept having problems, so I ...
28/06/2024

My plan was not to fight but after losing many important things, i returned to the street. I kept having problems, so I told my uncle, 'I am ready to fight now. take me to Bocca Boxing Club I'm ready.'

Mpango wangu haukuwa kupigana lakini baada ya kupoteza vitu vingi muhimu, nilirudi mtaani. Niliendelea kuwa na matatizo, hivyo nikamwambia mjomba wangu, β€˜Niko tayari kupigana sasa. nipeleke
Niko tayari.'

Nashukuru mungu kwa afya NzuriNa utimamu wa kutoshaTarehe 24th DecemberAt kimara korogwe 'white house hall
20/11/2023

Nashukuru mungu kwa afya Nzuri
Na utimamu wa kutosha
Tarehe 24th December
At kimara korogwe 'white house hall

Bocca Boxing Club. Tupopamoja sana.πŸ‘ŠπŸ½πŸ₯Š
13/10/2023

Bocca Boxing Club. Tupopamoja sana.πŸ‘ŠπŸ½πŸ₯Š

 πŸ™Allah azidi kubariki kazi ya mikono yanguAllah azidi kuibariki team yangu bocca gymAllah azidi kuibariki  πŸ‡ΉπŸ‡Ώ__πŸ‘Š πŸ‘Š_____...
29/09/2023

πŸ™
Allah azidi kubariki kazi ya mikono yangu
Allah azidi kuibariki team yangu bocca gym
Allah azidi kuibariki πŸ‡ΉπŸ‡Ώ

__πŸ‘Š πŸ‘Š__
_____πŸ”₯πŸ”₯ πŸ”₯πŸ”₯____

Bocca Gym Kambi Moto!πŸ”₯VITASA FACE-OFF : brah Mafia vs SaidAbbas pambano lipo..Ni kuelekea Usiku wa Viwango kesho Septemb...
29/09/2023

Bocca Gym Kambi Moto!πŸ”₯VITASA FACE-OFF : brah Mafia vs Said
Abbas pambano lipo..
Ni kuelekea Usiku wa Viwango kesho Septemba 29,
LIVE

Tuna weka mipango ya kambi pamoja. Tunawakubali na coaches na boxers. πŸ™πŸ½πŸ€²πŸ½
31/07/2023

Tuna weka mipango ya kambi pamoja. Tunawakubali na coaches na boxers. πŸ™πŸ½πŸ€²πŸ½

Bocca boxing club  Kambi Moto  . Asante Mungu kwa vipaji ulivyo tupa  na kuchukuwa wakali wa boxing wa kitaa   lilikuwa ...
10/07/2023

Bocca boxing club Kambi Moto . Asante Mungu kwa vipaji ulivyo tupa na kuchukuwa wakali wa boxing wa kitaa lilikuwa si jambo dogo na atunaga dogo ulipo ww sisi ndiyo wakali wako wa kitaa . Kukaa kimya nayo dawa ? Choma kichaka inaendelea wapinzani wakaeje ?????

Fanya mazoezi ya tumbo kila siku πŸ’ͺ🏽πŸ₯Š
11/05/2023

Fanya mazoezi ya tumbo kila siku πŸ’ͺ🏽πŸ₯Š

Tunatuma maombi na baraka kwa mabingwa na makocha wetu leo. Kazi Kazi!
22/04/2023

Tunatuma maombi na baraka kwa mabingwa na makocha wetu leo. Kazi Kazi!

11/04/2023

Kupumzika ni jambo muhimu na mafunzo. Ukiujali mwili wako mwili wako utakujali asante

10/04/2023

Bingwa Mustafa kufanya mazoezi kwa bidii ufukweni na kocha pendeza

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Bocca Boxing Club posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share