Wachuo sports report

Wachuo sports report HABARI NA MATUKIO YA MICHEZO

PSG mabingwa UEFA Champions League
30/05/2026

PSG mabingwa UEFA Champions League

Baada ya zaidi ya miaka 14 nyota wa Barcelona timu ya wanawake Alexia Putellas Segura ambaye ni kipenzi cha wnaa Barcelo...
28/05/2026

Baada ya zaidi ya miaka 14 nyota wa Barcelona timu ya wanawake Alexia Putellas Segura ambaye ni kipenzi cha wnaa Barcelona kwa muda mrefu kiasi kwamba wanamuita "La Reina " yaani Malkia wao ameaga Rasmi kuondoka klabuni bapo

Alexia ana Ballondi'or 2 na umri wa miaka 32 sasa .

Kipenzi chao anaondoka sasa na kuwaacha na majonzi 😔

Jaen Philippe Mateta 14 📸
27/05/2026

Jaen Philippe Mateta 14 📸

Crystal Palace mabingwa wa Conference League 🏆 CRYSTAL PALACE FC 🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 1-0 RAYO VALLECANO 🇪🇸 ⚽️-50 Mateta
27/05/2026

Crystal Palace mabingwa wa Conference League 🏆

CRYSTAL PALACE FC 🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 1-0 RAYO VALLECANO 🇪🇸
⚽️-50 Mateta

WANANCHI WALEEEEEEEEEEFT: YANGA SC 3-0 SINGIDA BLACK STARS 13’—⚽️ Allan Okello 42’—⚽️ Mudathir Yahya 69’—⚽️ Allan Okello
22/05/2026

WANANCHI WALEEEEEEEEEE

FT: YANGA SC 3-0 SINGIDA BLACK STARS
13’—⚽️ Allan Okello
42’—⚽️ Mudathir Yahya
69’—⚽️ Allan Okello

Cristiano Ronaldo amefunga magoli mawili na kuisaidia Al Nassr FC kutwaa ubingwa wa Saudi Pro League kufuatia ushindi wa...
21/05/2026

Cristiano Ronaldo amefunga magoli mawili na kuisaidia Al Nassr FC kutwaa ubingwa wa Saudi Pro League kufuatia ushindi wa 4-1 dhidi ya Damac FC kwenye mchezo wa mwisho wa Ligi hiyo iliyotamatika leo.

Al Nassr FC imetwaa ubingwa huo wa 11 kihistoria kwa mara ya kwanza tangu ujio wa Ronaldo klabuni hapo ikiwa ni ubingwa wao wa kwanza tangu msimu wa 2018/19.

FT: Al Nassr FC 4-1 Damac FC
⚽ 34' Mane
⚽ 54' Coman
⚽ 63' Ronaldo
⚽ 81' Ronaldo

⚽ 58' Sylla (P)

FT: Al Fayha 0-1 Al Hilal
⚽ 04' Mandash

MSIMAMO: Saudi Pro League
1. Al Nassr FC — pointi 86
2. Al Hilal — pointi 84
3. Al-Ahli — pointi 81
4. Al Qadsiah — pointi 77

MNYAMA KAPANDA KILELENI MWA LIGIFT: Coastal Union 1-2 Simba SC⚽ 08' Maabad⚽ 37' Gueye (🅰️ Chama)⚽ 43' Oura (🅰️ Chama)
21/05/2026

MNYAMA KAPANDA KILELENI MWA LIGI

FT: Coastal Union 1-2 Simba SC
⚽ 08' Maabad
⚽ 37' Gueye (🅰️ Chama)
⚽ 43' Oura (🅰️ Chama)

ASTON VILLA MABINGWA UEFA EUROPA LEAGUEFT: FREIBURG FC  0-3 ASTON VILLA                                 ⚽️ 41 Tielemans ...
20/05/2026

ASTON VILLA MABINGWA UEFA EUROPA LEAGUE

FT: FREIBURG FC 0-3 ASTON VILLA
⚽️ 41 Tielemans
⚽️ 45+3 Buendia
⚽️ 57 Morgan Rogers

Klabu ya Zamalek SC ya Misri imetwaa ubingwa wa Ligi kuu ya soka Nchini humo kwa mara ya 15 kufuatia ushindi wa 1-0 dhid...
20/05/2026

Klabu ya Zamalek SC ya Misri imetwaa ubingwa wa Ligi kuu ya soka Nchini humo kwa mara ya 15 kufuatia ushindi wa 1-0 dhidi ya Ceramica Cleopatra na kumaliza kileleni mwa msimamo wa Ligi hiyo wakiwa na alama 56.

Mabingwa mara 45 wa Ligi hiyo, Al Ahly wamemaliza nafasi ya tatu wakifikisha alama 53, nafasi inayowalazimu kushiriki Kombe la Shirikisho msimu ujao.

Mabingwa wapya Zamalek na Mabingwa watetezi wa Ligi ya Mabingwa Afrika (CAFCL), Pyramids wamefuzu kushiriki Ligi ya Mabingwa Afrika msimu ujao.

FT: Zamalek 1-0 Ceramica Cleopatra
FT: Pyramids 2-1 Smouha
FT: Al Masry 0-2 Al Ahly

MSIMAMO 🔝 4️⃣
1. Zamalek — pointi 56
2. Pyramids — pointi 54
3. Al Ahly — pointi 53
4. Cleopatra — pointi 44

MANCHESTER CITY BINGWA WA FA CUP 25/26
16/05/2026

MANCHESTER CITY BINGWA WA FA CUP 25/26

Address

Dar Es Salaam

Telephone

+255755145700

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Wachuo sports report posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share