cambiassosports

cambiassosports A Football Management in Tanzania
Official Player’s Agent recognized by FIFA
Helping talented footballers become World Class Professionals
���

Mtendaji wetu Mkuu  Twaha Ngwambi alipokuwa akitoa neno la Ukaribisho kwa wageni waalikwa kwenye Uzinduzi wa Mashindano ...
14/05/2022

Mtendaji wetu Mkuu Twaha Ngwambi alipokuwa akitoa neno la Ukaribisho kwa wageni waalikwa kwenye Uzinduzi wa Mashindano Makubwa ya Kimataifa ya Cambiasso & Rainbow U20 International Tournament yaliyofanyika Dar Es Salaam Serena Hotel.


🇹🇿🇰🇪🇺🇬🇧🇮🇷🇼🇿🇲🇸🇳🇨🇵

sports

Rais Wa Shirikisho la Mpira wa miguu Zanzibar  Abdul-Latif Ally Yasin alipata nafasi ya kuzungumza kwenye Uzinduzi wa Ma...
14/05/2022

Rais Wa Shirikisho la Mpira wa miguu Zanzibar Abdul-Latif Ally Yasin alipata nafasi ya kuzungumza kwenye Uzinduzi wa Mashindano Makubwa ya Kimataifa ya Cambiasso & Rainbow U20 International Tournament yaliyofanyika Dar Es Salaam Serena Hotel.


🇹🇿🇰🇪🇺🇬🇧🇮🇷🇼🇿🇲🇸🇳🇨🇵

sports

Kaimu Katibu Mtendaji Baraza la Michezo Taifa (BMT) Neema Msitha alikuwa ni miongoni mwa wageni waalikwa na kupata fursa...
14/05/2022

Kaimu Katibu Mtendaji Baraza la Michezo Taifa (BMT) Neema Msitha alikuwa ni miongoni mwa wageni waalikwa na kupata fursa ya kutoa nasaha kwenye Uzinduzi wa Mashindano Makubwa ya Kimataifa ya Cambiasso & Rainbow U20 International Tournament yaliyofanyika Dar Es Salaam Serena Hotel.


🇹🇿🇰🇪🇺🇬🇧🇮🇷🇼🇿🇲🇸🇳🇨🇵

sports

💬 Nitoe Shukran za pekee sana kwa Cambiasso hiki wanachokifanya ni kikubwa sana. Sote hapa tunajua hakuna Shortcut kweny...
13/05/2022

💬 Nitoe Shukran za pekee sana kwa Cambiasso hiki wanachokifanya ni kikubwa sana. Sote hapa tunajua hakuna Shortcut kwenye Mpira, Hakuna Shortcut kwenye michezo💬

Aliyasema hayo Aliyekuwa Mgeni Rasmi katika Uzinduzi wa Mashindano Ya Kimataifa kwa Vijana Walio chini ya Miaka 20 ya CAMBIASSO & RAINBOW U20 INTERNATIONAL TOURNAMENT ambae ni Mkurugenzi Wa Maendeleo Ya Michezo Nchini Bw. Yusuph Singo.


🇹🇿🇰🇪🇺🇬🇧🇮🇷🇼🇿🇲🇸🇳🇨🇵🏆

sports

Officially Launched 🎉Rasmi Mashindano Ya Kimataifa Kwa Vijana Chini Ya Miaka 20, Cambiasso & Rainbow U20 International T...
13/05/2022

Officially Launched 🎉

Rasmi Mashindano Ya Kimataifa Kwa Vijana Chini Ya Miaka 20, Cambiasso & Rainbow U20 International Tournament yamezinduliwa Jijini Dar Es Salaam.

🎉🏆

sports

Set Up For The Launch   🔥🏆
13/05/2022

Set Up For The Launch
🔥🏆

Katika Jitihada za Kuzidi kutoa Fursa na kulikuza Soka La Vijana nchini, CambiassoSports tukishirikiana na RainbowSports...
10/05/2022

Katika Jitihada za Kuzidi kutoa Fursa na kulikuza Soka La Vijana nchini, CambiassoSports tukishirikiana na RainbowSports Tunakuletea Mashindano Ya Kimataifa kwa Vijana walio chini ya Miaka 20 ya 𝘾𝘼𝙈𝘽𝙄𝘼𝙎𝙎𝙊 & 𝙍𝘼𝙄𝙉𝘽𝙊𝙒 𝙐20 𝙄𝙉𝙏 𝙏𝙊𝙐𝙍𝙉𝘼𝙈𝙀𝙉𝙏'.

Mashindano hayo yatakayojumuisha timu 12 kutoka mataifa Mbalimbali Barani AFRICA na ULAYA yanatarajiwa kutimua Vumbi hapa nchini Mnamo mwezi Julai Mwaka huu.
sports


🇹🇿⚽️

𝐍𝐜𝐡𝐢 8 | 𝐓𝐢𝐦𝐮 12   🇹🇿⚽️
10/05/2022

𝐍𝐜𝐡𝐢 8 | 𝐓𝐢𝐦𝐮 12


🇹🇿⚽️

Nchi Nane   🇹🇿⚽️
10/05/2022

Nchi Nane


🇹🇿⚽️

 💪⚽️Vijana wakiweka Miili tayari kwa Kazi.!🔋⚡   🇹🇿⚽️
19/02/2022

💪⚽️

Vijana wakiweka Miili tayari kwa Kazi.!
🔋⚡


🇹🇿⚽️

Cambiasso Sports Management inaungana na Wadau wa Soka nchini pamoja na watanzania wote kwa ujumla katika kumtakia Kheri...
27/01/2022

Cambiasso Sports Management inaungana na Wadau wa Soka nchini pamoja na watanzania wote kwa ujumla katika kumtakia Kheri Rais wa Tanzania, Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan katika kuadhimisha siku ya kuzaliwa kwake.

M/Mungu amzidishie Ujasiri na Busara zaidi katika kulijenga Taifa Letu. 🇹🇿





MAXIME AIBUA KIPAJI KIPYA ARUSHA 💫Tukiwa kwenye mashindano ya CHIPKIZI CUP jijini Arusha, Kocha Mecky Maxime amevutiwa n...
22/12/2021

MAXIME AIBUA KIPAJI KIPYA ARUSHA 💫

Tukiwa kwenye mashindano ya CHIPKIZI CUP jijini Arusha, Kocha Mecky Maxime amevutiwa na KIPAJI cha hali ya juu kilichooneshwa na BEKI wa KUSHOTO kutoka timu ya FUTURE STARs U17 ya jijini Arusha.

Mwalimu Maxime alionesha nia ya kumuhitaji mtoto huyo mwenye uwezo mkubwa sana kwenye kuimudu nafasi hiyo, Hivyo basi muda si mrefu kutoka sasa KINDA huyo fundi ataungana na timu yetu ya Vijana U17.

KARIBU SANA FULL BACK YA MPIRA⚽🔥


Address

Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00
Saturday 09:00 - 17:00

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when cambiassosports posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category