Sports Kibingwa

Sports Kibingwa Kwa habali za michezo ndani na nje ya nchii utazipata hapa Sport kibingwa οΏ½

Wahenga hawaamini 😁😁Maestro
13/12/2025

Wahenga hawaamini 😁😁
Maestro

Tanzania Super Start ⭐ "Life will not always give u want, when you fail you learn, I grew up believing that failure is m...
29/07/2025

Tanzania Super Start ⭐
"Life will not always give u want, when you fail you learn, I grew up believing that failure is mother of all success ✊"

On Instagram ✍️
Follow, πŸ“Œ πŸ“Œ πŸ“Œ

Good Morning Mtu wangu wa nguvu Leo JANUARY 14, 2025, nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele ...
14/01/2025

Good Morning Mtu wangu wa nguvu Leo JANUARY 14, 2025, nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti ya Tanzania.

✍️Andika Togs Media
Video tayali iko Kwenye You tube channel yetu, Twende tukaitazame



Media Media

FT: Bravos 1-1 Simba SC⚽ Abednego 13'⚽ Ateba 69'Simba SC imefuzu katika hatua ya Robo Fainali ya kombe la shirikisho iki...
12/01/2025

FT: Bravos 1-1 Simba SC
⚽ Abednego 13'
⚽ Ateba 69'

Simba SC imefuzu katika hatua ya Robo Fainali ya kombe la shirikisho ikifikisha alama 10 kwenye Kundi lao

Merry Christmas to all our amazing fans! πŸŽ„βœ¨ Thank you for your endless support and love throughout the year. May your ho...
25/12/2024

Merry Christmas to all our amazing fans! πŸŽ„βœ¨ Thank you for your endless support and love throughout the year.

May your holiday season be filled with joy, love, and unforgettable moments!

God bless u πŸ™

Neno Moja kwa Rasta Man Kibu Denis    Media  Media   :SimbavsCSSfaxien
15/12/2024

Neno Moja kwa Rasta Man Kibu Denis




Media Media
:SimbavsCSSfaxien
















Full-Time Drama! TP Mazembe 1-1 Yanga SC Roho ya mapambano πŸ’ͺYanga SC wamefanikiwa kuibuka na sare ya dakika za mwisho dh...
14/12/2024

Full-Time Drama! TP Mazembe 1-1 Yanga SC
Roho ya mapambano πŸ’ͺ

Yanga SC wamefanikiwa kuibuka na sare ya dakika za mwisho dhidi ya wenyeji TP Mazembe katika mechi kali ya Ligi ya Mabingwa Afrika.
Mazembe walionekana kujiandikia ushindi baada ya kufunga bao la kuongoza kipindi cha kwanza, lakini "Wananchi" walikataa kukata tamaa na kuonesha roho ya mapambano hadi dakika za majeruhi.

Dakika ya 90+ walipata bao la kusawazisha kupitia mchezaji wao nyota Prince Dube

Bao hilo liliwafanya mashabiki wa Yanga kushangilia kwa nguvu, huku wakiwa wamepata alama ya muhimu kwenye uwanja mgumu wa Lubumbashi.

Je, sare hii ina maana gani kwa safari ya Yanga katika hatua ya makundi?

Tuandikie katika maoni, na usisahau ku-like na ku-subscribe kwa updates zaidi!


Media Media

















Ni Rasmi Mwenda ni Mwananchi .Klabu ya Yanga wamemtambulisha Full back wa zamani wa Simba na Singida Black Stars Israel ...
11/12/2024

Ni Rasmi Mwenda ni Mwananchi .

Klabu ya Yanga wamemtambulisha Full back wa zamani wa Simba na Singida Black Stars Israel Mwenda !

𝐅𝐔𝐋𝐋 π“πˆπŒπ„β±οΈ |   Namungo FC 0-2 Young Africans SC Yanga ya usindi imerudi Chonge mashabiki msiombe tena kucheza na malaik...
30/11/2024

𝐅𝐔𝐋𝐋 π“πˆπŒπ„β±οΈ |

Namungo FC 0-2 Young Africans SC

Yanga ya usindi imerudi Chonge mashabiki msiombe tena kucheza na malaikaπŸ“ŒπŸ˜


FT: SIMBA 1-0 FC BRAVOR Kuna mtu eti anasema muhimu Pointi 3 wakati timu imecheza vibaya πŸ˜‚
27/11/2024

FT: SIMBA 1-0 FC BRAVOR

Kuna mtu eti anasema muhimu Pointi 3 wakati timu imecheza vibaya πŸ˜‚

YANGA WAMEANZA HIVI DHIDI YA ORMDURMAN
26/11/2024

YANGA WAMEANZA HIVI DHIDI YA ORMDURMAN

πŸ“ŒπŸ“Œ  𝗛𝗨𝗬𝗨 𝗛𝗔𝗣𝗔 π—–π—˜π—’ 𝗠𝗣𝗬𝗔 π—ͺ𝗔 π—¦π—œπ— π—•π—”.➑️ Madam Zubeda Akokwenda JosephineπŸ‡ΉπŸ‡Ώ ambaye ameshawahi kufanya kazi Simba SC ofisi ya u...
23/11/2024

πŸ“ŒπŸ“Œ 𝗛𝗨𝗬𝗨 𝗛𝗔𝗣𝗔 π—–π—˜π—’ 𝗠𝗣𝗬𝗔 π—ͺ𝗔 π—¦π—œπ— π—•π—”.

➑️ Madam Zubeda Akokwenda JosephineπŸ‡ΉπŸ‡Ώ ambaye ameshawahi kufanya kazi Simba SC ofisi ya utawala ametangazwa k**a CEO mpya wa Simba Sports Club akichukua nafasi ya Regis kuanzia leo

Kaimu CEO mpya wa Simba Sc

Bi Zubeda Akokwenda Josephine alikua Mbunge wa zamani viti Maalumu kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)



Media Media

Address

Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Sports Kibingwa posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Sports Kibingwa:

Share