29/08/2026
Ukisikia ile kauli ya Pesa Sio kila kitu inabidi uamini tu😂😂
Klabu ya England Tottenham Hotspurs Ilitumia zaidi ya Paundi 300M kwenye usajili wao Msimu huu ili kujenga timu baada ya kunusurika kushuka daraja lakini cha kushangasa wamepoteza mechi mbili zote na wapo mkiani yani nafasi ya 20😂.