06/09/2025
Kiungo wa Real Madrid Jude Bellingham yuko nje ya uwanja tokea msimu umeanza baada ya kufanyiwa operesheni ya bega.
Pichani ni Jude akiuguza bega lake taratibu taratibu huko Sardinia, Italy Mapapparazzi wa ulaya bwana! 😁🙌🏾