Bongo bright online media

Bongo bright online media Comedy, cross cutting issues

Mbona anatrend sana Rais wa Mpira kuna nini waungwana?Tangaza nasi  kuwafikia wateja wa kila kona  Tanzania. ๐Ÿ‘‰ 078850902...
17/03/2025

Mbona anatrend sana Rais wa Mpira kuna nini waungwana?

Tangaza nasi kuwafikia wateja wa kila kona Tanzania.

๐Ÿ‘‰ 0788509024

๐Ÿ‘‰Wachezaji wawili wa Singida Black Stars Arthur Bada na Jonathan Sowah watajiunga Young Africans dirisha kubwa la usajil...
15/03/2025

๐Ÿ‘‰Wachezaji wawili wa Singida Black Stars Arthur Bada na Jonathan Sowah watajiunga Young Africans dirisha kubwa la usajili

Jonathan Sowah atachukua nafasi ya Kennedy Musonda

Arthur ataenda k**a mzawa ikiwa atashinda kesi yake ya uraia.

NB: Singida Black Stars wana scout nzuri sana hawa jamaa ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ

#

Klabu ya Yanga Imefuta Chapisho la Kumpongeza Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) Wallace Karia Katika Pages zake ...
13/03/2025

Klabu ya Yanga Imefuta Chapisho la Kumpongeza Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) Wallace Karia Katika Pages zake za Mitandaoni ya Kijamii Instagram na Facebook

Chapisho Hilo Lilikuwa linasomeka "Hongera Mr Wallace Karia Rais wa TFF na CECAFA kwa Kuchaguliwa Mjumbe wa Kamati Tendaji ya CAF"

Unadhani Nini kimepelekea Yanga Kulifuta Chapisho Hilo Lina Kasoro yeyote au Sababu itakuwa ni nini?

NB: ๐Ÿ˜ƒ Simu ya Maelekezo kwa Admin

Tangaza na Bongobrightmedia 0788509024๐Ÿ™

#

Wananchi waweka ngumu๐Ÿ˜‚ Mpaka sasa milango bado migumu๐Ÿ‘‰ Yanga 0-0 TPLBFOLLOW US ON YOUTUBE  POWERED BY     #             ...
09/03/2025

Wananchi waweka ngumu๐Ÿ˜‚ Mpaka sasa milango bado migumu

๐Ÿ‘‰ Yanga 0-0 TPLB

FOLLOW US ON YOUTUBE

POWERED BY

#

Slide ๐Ÿ‘‰ ๐Ÿ˜‚ Baada ya tetesi kudai Ally Kamwe amefungiwa kujihusisha na Soka miaka 2, Je mupo tayari huyu mwamba aanze kufa...
06/03/2025

Slide ๐Ÿ‘‰

๐Ÿ˜‚ Baada ya tetesi kudai Ally Kamwe amefungiwa kujihusisha na Soka miaka 2, Je mupo tayari huyu mwamba aanze kufanya mazoezi๐Ÿ˜…๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡

Powered by Hakikisha umepakua App yetu ili kupata taarifa muhimu kwako wewe Mwanachuo pia hakikisha unafuata maelekezo ya kujisajili hapa ๐Ÿ‘‰ 0735 880 007

#

Next slide ๐Ÿ‘‰ Waamuzi Kariakoo Derby, Machi 8, 2025Refa: Ahmed ArajigaLine 1: Mohammed MkonoLine 2: Kassim Mpanga4th Offi...
05/03/2025

Next slide ๐Ÿ‘‰

Waamuzi Kariakoo Derby, Machi 8, 2025

Refa: Ahmed Arajiga
Line 1: Mohammed Mkono
Line 2: Kassim Mpanga
4th Official: Amina Kyando

NB: kuna watu wanacheka na wengine wananuna๐Ÿ˜‚

SmartUni ni suluhisho la upatikanaji wa notes , assignments , group discussions na pia unaweza ukawasiliana na wanafunzi wa vyuo vingine. Pakua na jisajili kwenye mfumo wetu ili upate note zako kwa gharama nafuu. Tembelea Play Store au App Store upakue SmartUni na usome kwa njia ya Kidigitali.



Cc

Mdau Dm ๐Ÿ˜‚๐Ÿ‘‰Mwanachuo hakikisha umepakua App ya Smartuni iliyorahisishwa kwa Wanafunzi wote wa vyuo vyote nchini,  Hauna h...
28/02/2025

Mdau Dm ๐Ÿ˜‚

๐Ÿ‘‰Mwanachuo hakikisha umepakua App ya Smartuni iliyorahisishwa kwa Wanafunzi wote wa vyuo vyote nchini, Hauna haja ya kutembea na Daftari kwaajili ya kujisomea ๐Ÿคฉ

๐Ÿ‘‰ Download app yetu some online huku tukikukutanisha na wanachuo wenzio kutoka kwenye Course husika

๐Ÿ‘‰ Nenda Google play store Download App alafu fuata maelekezo ya kujisajili hapa 0735 880 007

Tufuatilie Facebook
Instagram
Tiktok

Au tupigie 0735 880 007

๐Ÿ‘‰Mwanachuo hakikisha umepakua App ya Smartuni iliyorahisishwa kwa Wanafunzi wote wa vyuo vyote nchini,  Hauna haja ya ku...
28/02/2025

๐Ÿ‘‰Mwanachuo hakikisha umepakua App ya Smartuni iliyorahisishwa kwa Wanafunzi wote wa vyuo vyote nchini, Hauna haja ya kutembea na Daftari kwaajili ya kujisomea ๐Ÿคฉ

๐Ÿ‘‰ Download app yetu some online huku tukikukutanisha na wanachuo wenzio kutoka kwenye Course husika

๐Ÿ‘‰ Nenda Google play store Download App alafu fuata maelekezo ya kujisajili hapa 0735 880 007

Tufuatilie Facebook
Instagram
Tiktok

Au tupigie 0735 880 007

Address

Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Bongo bright online media posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Bongo bright online media:

Shortcuts

Share