sports and loves

sports and loves -entertainment and businessman
-artist
-videos maker
-footbooller
�here we go...................�

Kumekucha😀😀
07/11/2022

Kumekucha😀😀

Pray for me guys😪 Jamaa anaumwa uviko 19 Je ni kweli? au yanga hawajamlipa ela zake?🤔Comments ziwe hapo chini tujue ukwe...
02/10/2022

Pray for me guys😪

Jamaa anaumwa uviko 19
Je ni kweli? au yanga hawajamlipa ela zake?🤔

Comments ziwe hapo chini tujue ukweli...

ALLY KAMWE AMUOMBEA MSAMAHA MANARA."Nikipata fursa ya kuonana na Rais wa TFF Wallace Karia na Katibu Mkuu Wilfred Kidao ...
02/10/2022

ALLY KAMWE AMUOMBEA MSAMAHA MANARA.

"Nikipata fursa ya kuonana na Rais wa TFF Wallace Karia na Katibu Mkuu Wilfred Kidao nitashukuru, moja kati ya mambo ambayo nitayafanya ni kuwaomba ikiwapendeza, basi wampunguzie adhabu Haji Manara kwa sababu sisi Yanga bado tunamuhitaji na mimi binafsi nahitaji kujifunza vitu vingi kutoka kwake"

"Nitawaomba wa-deal na mazuri ambayo Haji Manara aliyafanya kwenye mpira wetu na yale mapungufu yake wayachukulie k**a sehemu ya ubinadamu.Kama kuna nafasi hata ndogo ya kumpunguzia adhabu, sisi Yanga tutashukuru"

ALLY KAMWE [],Afisa Habari wa Klabu ya Yanga SC 🇹🇿.

Usisahau kutufollow

Maneno ya simba "Tunazitaka alama tatu za wakulima wa zabibu za Dodoma 😋"Mwanasimba njoo ufurahie soka la kibingwa 💪
01/10/2022

Maneno ya simba
"Tunazitaka alama tatu za wakulima wa zabibu za Dodoma 😋"

Mwanasimba njoo ufurahie soka la kibingwa 💪

RASMI: Klabu ya Yanga imemtangaza rasmi CEO wao mpya Andre Mtine 🇿🇲Mtine amewahi kufanya kazi katika klabu ya Tp Mazembe...
30/09/2022

RASMI: Klabu ya Yanga imemtangaza rasmi CEO wao mpya Andre Mtine 🇿🇲

Mtine amewahi kufanya kazi katika klabu ya Tp Mazembe 🇨🇩 kwa miaka 12, na klabu zingine k**a Power Dynamo na Zesco United zote za Nchini Zambia 🇿🇲

Pia aliwahi kuwa mjumbe wa k**ati ya fedha katika shirikisho la soka Africa (CAF)

Aidha, aliwahi pia kufanya kazi katika shirikisho la soka Nchini Zambia. Anaenda kuchukua mikoba ya Senzo Mazingisa 🇿🇦

Rais wa klabu ya Yanga SC, Eng. Hersi Said ameeleza kuwa, kupitia Application mpya ya Yanga iliyotambulishwa leo, watatangaza safu mpya ya uongozi wa Idara ya habari ya Yanga leo jioni.

Je nani atakuwa msemaji wa wananchi??... Kaa karibu nasi...

sports area

Address

Mianzini, Charambe, Mponda
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when sports and loves posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share