Za Ndaaani

Za Ndaaani habari za kuaminika tu ambazo ni vigumu kuzipata

Kijili ni mwanasimba kwa mkataba wa miaka miwili.Ilikuwa ni dili la kupishana na israh mwenda, lkn wote bado wana nafasi...
12/07/2024

Kijili ni mwanasimba kwa mkataba wa miaka miwili.

Ilikuwa ni dili la kupishana na israh mwenda, lkn wote bado wana nafasi ya kucheza kisaidiana na kapomne

John rafael BOCCO amejiunga rasmi na JKT TANZANIA kwa mkataba wa mwaka mmoja
10/07/2024

John rafael BOCCO amejiunga rasmi na JKT TANZANIA kwa mkataba wa mwaka mmoja

Stephane aziz KI aongeza mkataba kiendelea kuwatumikia wananchi kwa mwaka mmoja na sio miwili k**a itakavyoripotiwa. Ila...
09/07/2024

Stephane aziz KI aongeza mkataba kiendelea kuwatumikia wananchi kwa mwaka mmoja na sio miwili k**a itakavyoripotiwa. Ila kuna kipengele cha kuongeza mwaka mmoja kwa ada hiyohiyo ya usajili

K**a tulivyoeleza kuwa Augustine okejepha ni mnyama na punde anatambulishwa msimbazi....โš™๏ธ๐——๐—˜๐—”๐—Ÿ ๐——๐—ข๐—ก๐—˜ โ„น๏ธ Augustine Okejeph...
06/07/2024

K**a tulivyoeleza kuwa Augustine okejepha ni mnyama na punde anatambulishwa msimbazi
....โš™๏ธ๐——๐—˜๐—”๐—Ÿ ๐——๐—ข๐—ก๐—˜

โ„น๏ธ Augustine Okejepha (20) ๐Ÿ‡ณ๐Ÿ‡ฌ ni kiungo mkabaji (DM) kutoka Rivers Utd

โ„น๏ธ Kwenye maisha yake amepita timu mbili tu Warri Wolves Fc ๐Ÿ‡ณ๐Ÿ‡ฌ na Rivers.

โ„น๏ธ Simba wamemchomoa Key Player ndani ya Rivers

โœ… Done, Sealed & Dusted

Zamu ya yusuph kagoma
05/07/2024

Zamu ya yusuph kagoma

Kiungo katili SADIO KANOUTE ataendelea kubaki viunga vya msimbazi kunako msimu ujao 2024/2025.Unaonaje hiyo??
05/07/2024

Kiungo katili SADIO KANOUTE ataendelea kubaki viunga vya msimbazi kunako msimu ujao 2024/2025.

Unaonaje hiyo??

Baada ya ndoa ya lomalisa na yanga kuvunjika, sasa inadaiwa klabu ya saint lupopo imemnasa beki huyo waziri wa maji.Pia,...
05/07/2024

Baada ya ndoa ya lomalisa na yanga kuvunjika, sasa inadaiwa klabu ya saint lupopo imemnasa beki huyo waziri wa maji.

Pia, za ndaaani inaonyesha ihefu nayo iliweka donge nono kumshawishi mkongo huyo kuendelea kubaki kwa ardhi ya mama kizimkazi

Augustine Okejepha alianza safari ya kutoka Ghana kuja Tanzania hapo jana tayari kuja kujiunga na klabu ya Simba akitoke...
05/07/2024

Augustine Okejepha alianza safari ya kutoka Ghana kuja Tanzania hapo jana tayari kuja kujiunga na klabu ya Simba akitokea Rivers United ya Nigeria.

Amesaini mkataba wa miaka miwili

Captain BAKARI NONDO aongeza miaka miwili kuwatumikia wanajangwani
03/07/2024

Captain BAKARI NONDO aongeza miaka miwili kuwatumikia wanajangwani

Ahoua Jean Charles raia wa Ivory Coast amesaini mkataba wa miaka miwili katika Klabu ya Simba, Ahoua ana umri wa miaka 2...
03/07/2024

Ahoua Jean Charles raia wa Ivory Coast amesaini mkataba wa miaka miwili katika Klabu ya Simba, Ahoua ana umri wa miaka 22, ametokea Stella Club dโ€™Adjamรฉ ya nchini kwao Ivory Coast.

Mukwalaโœ…
Mutaleโœ…
Ahouaโœ…

Address

Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Za Ndaaani posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category