14/09/2026
๐๐๐๐๐๐ ๐ญ๐ ๐ง๐๐ง๐๐ญ๐ข ๐๐ ๐จ๐ฃ๐จ๐ก๐๐จ๐๐จ ๐ช๐ ๐ก๐๐จ๐ฉ๐จ ๐ญ๐ ๐๐๐จ๐ ๐
โก๏ธ Kukosa hamu ya Kufanya Tendo la Ndoa.
โก๏ธ ๐๐๐๐ผ๐ธ๐๐๐ฎ ๐ป๐ฎ ๐จ๐๐ฒ๐๐ผ ๐๐ฎ ๐ธ๐๐ฟ๐๐ฑ๐ถ๐ฎ ๐ง๐ฒ๐ป๐ฑ๐ผ ๐น๐ฎ ๐ป๐ฑ๐ผ๐ฎ ๐๐ฎ๐ถ๐ฑ๐ถ ๐๐ฎ ๐บ๐ฎ๐ฟ๐ฎ ๐บ๐ผ๐ท๐ฎ; Mwanaume mwenye changamoto ya upungufu wa nguvu za kiume akishakamilisha mshindo mmoja wa tendo la ndoa basi anakua hana uwezo tena wa kurudia mshindo mwingine, hali hii husababishwa na kutokuwepo na msukumo wa damu wa kutosha kwenye mishipa ya uume.
โก๏ธ ๐๐๐๐ผ๐ธ๐๐๐ฎ ๐ป๐ฎ ๐๐๐ฒ๐๐ผ ๐๐ฎ ๐ธ๐๐๐ถ๐บ๐ฎ๐บ๐ถ๐๐ต๐ฎ ๐จ๐๐บ๐ฒ ๐ธ๐ฎ๐ฏ๐ถ๐๐ฎ; kwa kawaida uume wa mwanaume aliyekamilika unaposimama, hutakiwa kuwa imara k**a msumari, lakini kwa mwanaume mwenye changamoto ya upungufu wa nguvu za kiume, uume wake hata ukisimama hubakia kuwa lege lege na unaweza kusinyaa wakati wowote. Tatizo hili ni matokeo ya kulegea kwa mishipa ya uume ambayo ndio huufanya uume usimame barabara.
โก๏ธ ๐๐๐๐ฎ๐ต๐ถ ๐ธ๐๐ณ๐ถ๐ธ๐ฎ ๐บ๐๐ต๐ถ๐ป๐ฑ๐ผ; Kutoa mbegu kabla ya kuanza tendo la ndoa au muda mfupi tu baada ya kuanza tendo la ndoa, bila yeye mwenyewe kukusudia huashiria changamoto hii. Kwa kawaida mtu mwenye tatizo la kuwahi kufika kileleni hutoa mbegu zake za kiume hata baada ya maandalizi kidogo sana.
โก๏ธ Kuchoka sana baada ya tendo la Ndoa; Na hata kukinai kabisa/hata kuhisi kichechefu, hali hii huwapata wanaume wenye changamoto ya upungufu wa nguvu za kiume ambayo wakati mwingine huambatana na usingizi mzito (Kulala fofofo).
โก๏ธ ๐๐๐ต๐ถ๐๐ถ ๐ ๐ฎ๐๐บ๐ถ๐๐ ๐๐ฎ๐ธ๐ฎ๐๐ถ ๐๐ฎ ๐ง๐ฒ๐ป๐ฑ๐ผ ๐น๐ฎ ๐ก๐ฑ๐ผ๐ฎ ๐ฎ๐ ๐ฏ๐ฎ๐ฎ๐ฑ๐ฎ ๐๐ฎ ๐ง๐ฒ๐ป๐ฑ๐ผ ๐ต๐ถ๐น๐ผ; Hali hii huweza kuchangiwa na kauthirika kwa tishu za uume ambazo hutokana na upigaji wa punyeto kupita kiasi.
โก๏ธ ๐๐๐ฐ๐ต๐ฒ๐น๐ฒ๐๐ฎ ๐ธ๐๐ณ๐ถ๐ธ๐ฎ ๐บ๐๐ต๐ถ๐ป๐ฑ๐ผ ๐๐ฎ๐ป๐ฎ ๐ฎ๐ ๐ธ๐๐๐ต๐ถ๐ป๐ฑ๐๐ฎ ๐ธ๐ฎ๐ฏ๐ถ๐๐ฎ ๐ธ๐๐ณ๐ถ๐ธ๐ฎ ๐บ๐๐ต๐ถ๐ป๐ฑ๐ผ; Ni hali ya mwanaume kuchukua muda mrefu kutoa manii wakati wa kushiriki tendo la ndoa. Kwa kawaida mwanaume anatakiwa atoe manii kwa muda usiozidi dakika 30 wakati wa kushiriki tendo la ndoa. Kwahiyo mwanaume anaposhiriki tendo la ndoa na kuchukua muda mrefu bila kufika mshindo anahitaji uchunguzi ili kubaini chanzo cha tatizo.