Mndiga sports

Mndiga sports Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Mndiga sports, Sport & recreation, mndigawaziri5@gmail. com, Dar es Salaam.

Mwanaume pambana na maisha yako usikae kusimanga wenzako
25/01/2023

Mwanaume pambana na maisha yako usikae kusimanga wenzako

๐— ๐—”๐—ง๐—–๐—› ๐——๐—”๐—ฌ๐Ÿ”ฐโšฝ๏ธ Young Africans SC๐Ÿ†šRuvu Shooting ๐Ÿ—“ 23 January 2023โฑ 01:00 Usiku๐ŸŸ Uwanja wa Benjamin Mkapa๐Ÿ†
23/01/2023

๐— ๐—”๐—ง๐—–๐—› ๐——๐—”๐—ฌ๐Ÿ”ฐ

โšฝ๏ธ Young Africans SC๐Ÿ†šRuvu Shooting
๐Ÿ—“ 23 January 2023
โฑ 01:00 Usiku
๐ŸŸ Uwanja wa Benjamin Mkapa
๐Ÿ†


Mshambuliaji mpya wa club ya simba jean baleke jana amefanikiwa kuanza vyema safari yake ya kisoka katika ligi kuu ya NB...
23/01/2023

Mshambuliaji mpya wa club ya simba jean baleke jana amefanikiwa kuanza vyema safari yake ya kisoka katika ligi kuu ya NBC premier league kwa kuifungia goli club yake ya simba na kupata ushindi wa gori moja dhidi ya Dodoma jiji

๐Ÿ‡ฒ๐Ÿ‡ฆ Achraf Hakimi ametangazwa Mchezaji Bora wa Kiarabu katika Tuzo za Joy 2022 huko Riyadh ๐Ÿ‡ธ๐Ÿ‡ฆAlipanda jukwaani na mama ya...
22/01/2023

๐Ÿ‡ฒ๐Ÿ‡ฆ Achraf Hakimi ametangazwa Mchezaji Bora wa Kiarabu katika Tuzo za Joy 2022 huko Riyadh ๐Ÿ‡ธ๐Ÿ‡ฆ

Alipanda jukwaani na mama yake kwa ajili ya tuzo.

Sote tuwafanyie fahari mama zetu siku moja. Amina! ๐Ÿ™??โค๏ธโœจ

# mndiga Sports

Licha ya kuandikiwa barua ya kutakiwa kurejea kikosini baada ya kesi yake kumalizika, Kiungo Feisal Salum Fei Toto yuko ...
22/01/2023

Licha ya kuandikiwa barua ya kutakiwa kurejea kikosini baada ya kesi yake kumalizika, Kiungo Feisal Salum Fei Toto yuko zake Zanzibar.

Mtendaji Mkuu wa Yanga Andre Mtine, alimuandikia barua Fei ya kumtaka kurejea kikosini baada ya Kamati ya Sheria na Hadhi ya Wachezaji ya TFF kutamka kuwa mchezaji huyo ni halali wa Yanga kwani bado ana mkataba mpaka mwaka 2024.

Lakini Feisal ameonekana akiendelea na mambo mengine huko Zanzibar bila kuripoti kambini Yanga k**a alivyotakiwa.

Sports

Manchester City wamekamilisha usajili wa kipa wa Argentina Mรกximo Perrone - hati zimesainiwa kwenye klabu/upande wa wach...
22/01/2023

Manchester City wamekamilisha usajili wa kipa wa Argentina Mรกximo Perrone - hati zimesainiwa kwenye klabu/upande wa wachezaji, hapa tunaenda kuthibitishwa ๐Ÿšจ๐Ÿ”ต๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡ท

Perrone anajiunga na Man City hadi Juni 2028 kutoka Vรฉlez - mkataba uliokamilika k**a ulivyofunuliwa Desemba, ambao umekamilika na rasmi hivi karibuni

Source: Fabrizio Romano

ยถ *By mndiga Sports Sports โšฝ*

Rio Ferdinand kuhusu Mykhailo Mudryk: โ€œNi usajili ambao utawavutia  sana kwa mashabiki wa Chelsea na nina uhakika kutaku...
22/01/2023

Rio Ferdinand kuhusu Mykhailo Mudryk:


โ€œNi usajili ambao utawavutia sana kwa mashabiki wa Chelsea na nina uhakika kutakuwa na mashabiki wa Arsenal ambao watasema 'Oh Mungu wangu, tulimuachaje huyu mchezaji aende timu nyingine badala yetu?'โ€

ยถ *By mndiga Sports โšฝ*

Address

Mndigawaziri5@gmail. Com
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mndiga sports posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share