11/08/2026
🌡️ LIQUID THERMOMETER – KIPIMA JOTO
Unahitaji kupima joto kwa usahihi? 🔥❄️
Liquid Thermometer ni kifaa rahisi na muhimu kwa kupima kiwango cha joto kwenye matumizi mbalimbali.
✅ Usomaji rahisi wa temperature
✅ Rahisi kutumia
✅ Inafaa kwa matumizi ya nyumbani, biashara na maabara
✅ Imara na hudumu kwa matumizi ya muda mrefu
📍 Tunapatikana Kariakoo – Nyamwezi/Mkunguni
📞 0655997761
📦 Inapatikana dukani — karibu ujipatie yako!