12/10/2022
Msingwa Veterans
Tangazo la Mechi,
Ijumaa hii ya kesho kutwa tarehe 14 siku ya Nyerere day tutakuwa na mechi kati ya :
Msingwa Veterans VS Kibaha Maili moja Veterans
Mechi itachezewa uwanja wa MAILI MOJA KIBAHA baada ya hapo tutabaki kwa ajili ya kikao kifupi cha maendeleo ya timu tujitahidi kuwahi nyote mnakaribishwa naomba tuje Msingwa shule mapema asubuhi saa moja na nusu kwa wingi.
Taarifa kutoka,
Idara ya habari na mawasiliano,
[email protected]
Msingwa Veterans.
12/10/2022