bookeeBet TZN

bookeeBet TZN saiti namba 1 Tanzania 🇹🇿 Kwa BONASI
âš½

Real Madrid watawakaribisha Atletico Madrid kwa mara ya 3 sasa kwa msimu huu. Michezo yote miwili waliyopoteza Madrid ms...
04/02/2024

Real Madrid watawakaribisha Atletico Madrid kwa mara ya 3 sasa kwa msimu huu. Michezo yote miwili waliyopoteza Madrid msimu huu ni dhidi ya Atletico. Wakitolewa kwenye Coap Del Ray. Je Real Madrid watajipata na kushinda huu mchezo au Atletico wataongeza kipigo cha pili kwa Madrid kwenye La liga.
Cheza Sasa: bit.ly/BookeebetGames

The gunners wanarudi kucheza na Liverpool kwa mara ya 3 msimu huu.Timu zote zinafukuza ubingwa kupoteza mchezo kwa yeyot...
04/02/2024

The gunners wanarudi kucheza na Liverpool kwa mara ya 3 msimu huu.Timu zote zinafukuza ubingwa kupoteza mchezo kwa yeyote hapa kunampa faida kubwa sana Manchester city ambao wanauchungulia ubingwa wakiwa nafasi ya 2. Ni liverpool kubaki kilele au City wataokota dodo.
Cheza Sasa: bit.ly/BetOnEPL

Vita kileleni, Inter watakuwa nyumbani dhidi ya Juventus kwenye Serie A, Inter ameshinda mchezo 1 kwenye michezo yao 5 w...
04/02/2024

Vita kileleni, Inter watakuwa nyumbani dhidi ya Juventus kwenye Serie A, Inter ameshinda mchezo 1 kwenye michezo yao 5 walipokutana na Juventus. Wakitoka sare mara mbili na kupoteza mara mbili. Je Juventus watafuta uteja au Inter ataendeleza tabia yake ya kushinda.
Cheza Sasa: bit.ly/BookeebetGames

Manchester United wanautaka sana ushindi kwa kuwa wapo nje ya timu 6 za juu. West Ham na wao wanataka kujihakikishia ush...
04/02/2024

Manchester United wanautaka sana ushindi kwa kuwa wapo nje ya timu 6 za juu. West Ham na wao wanataka kujihakikishia ushindi mbele ya Red Devils na kuendelea kukaa salama wakiwa na matumaini ya kumaliza ndani ya top 5
Cheza Sasa: bit.ly/BetOnEPL

Girona ni shingo kwa shingo na Real Madrid kwenye ubingwa wa Hispania, watahitaji alama 3 nyingine au wamuache Real Madr...
03/02/2024

Girona ni shingo kwa shingo na Real Madrid kwenye ubingwa wa Hispania, watahitaji alama 3 nyingine au wamuache Real Madrid aongeze alama zaidi. Real Sociedad watahitaji kushinda ili kujihakikishia nafsi yao kwenye msimamo au Real Betis wakae juu yake.
Cheza Sasa: bit.ly/BookeebetGames

Tottenham wanataka kurejea kileleni huku nyota wake wakiwa wamerejea kikosini, Everton na wao vita ya kubaki ligi kuu im...
03/02/2024

Tottenham wanataka kurejea kileleni huku nyota wake wakiwa wamerejea kikosini, Everton na wao vita ya kubaki ligi kuu imeshika kasi. Brighton wanataka alama 3 kusitisha jinamizi la kupoteza michezo. Furham wanaona ushindi mweupe mbele ya ya Burnley. Newcastle wana kimeo na Luton wasumbufu na wanatoa matokea ya kushangaza. Villa baada ya kichapo wanataka kujituliza kwa kupata japo alama 3 kwa matumaini ya kurudi kwenye mbio za ubingwa.
Cheza Sasa: bit.ly/BetOnEPL

Hatua ya robo fainali sasa, Miamba Nigeria watakuwa na Timu yenye muunganiko mzuri Angola wakati Congo wataoneshana ufun...
02/02/2024

Hatua ya robo fainali sasa, Miamba Nigeria watakuwa na Timu yenye muunganiko mzuri Angola wakati Congo wataoneshana ufundi na wabishi wa Guinea, Timu zote hizi hazikupewa nafasi kubwa kuvuka kwenye makundi yao lakini ndio hawa hapa sasa.
Cheza Sasa: bit.ly/BookeebetGames

Dortmund wanatafuta kusogea hadi nafasi ya 3, mbele ya Stuttgart ili kurejea kwenye mbio za ubingwa. Bilbao kujihakikish...
02/02/2024

Dortmund wanatafuta kusogea hadi nafasi ya 3, mbele ya Stuttgart ili kurejea kwenye mbio za ubingwa. Bilbao kujihakikishia nafasi ya 5 na hata kusogea nafasi ya 4, Mallorca wakisalia kwenye kwenye mstari wa kushuka daraja. PSG wapo mbele kwa alama 6 na wanataka kuendelea kubaki kileleni, Strasbourg wao wakienda michezo 5 bila kupoteza wanapokutana na PSG. Fiorentina na wao wanataka kujisogeza hadi nafasi ya 4.
Cheza Sasa: bit.ly/BookeebetGames

Al Nassr watakutana na Inter Miami na kurudisha mpambano mkali wa GOAT wawili, Ronaldo vs Messi, Nani ataondoka kifua mb...
01/02/2024

Al Nassr watakutana na Inter Miami na kurudisha mpambano mkali wa GOAT wawili, Ronaldo vs Messi, Nani ataondoka kifua mbele, Itakuwa Inter Miami au Al Nassr?
Cheza Sasa: bit.ly/BookeebetGames

United wanahitaji ushindi kwa sana, kwa sasa wapo nafasi ya 8 kwenye EPL.wolves wapo nafasi ya 11 na wakishinda dhidi ya...
01/02/2024

United wanahitaji ushindi kwa sana, kwa sasa wapo nafasi ya 8 kwenye EPL.wolves wapo nafasi ya 11 na wakishinda dhidi ya Rad Devil, watakaa mbele yao. United wameshinda mara 4 kwenye michezo yao 5 walipokutana na Wolves, wanatazamia kuendeleza rekodi yao.
Cheza Sasa: bit.ly/BetOnEPL

Real madrid wapo karibu kurejea tena kwenye uongozi wa Laliga, wapo alama 1 nyuma ya Girona wakiwa na mchezo mmoja ambao...
01/02/2024

Real madrid wapo karibu kurejea tena kwenye uongozi wa Laliga, wapo alama 1 nyuma ya Girona wakiwa na mchezo mmoja ambao ndio huu wanaenda kucheza. Je watapata alama za kuwarudisha juu au watamuachia Girona atambe?
Cheza Sasa: bit.ly/BookeebetGames

Afrika imezalisha nyota wa maana sana, wakati Ulaya wana Ronaldo na South Amerika wana Messi, Maradona, Pele na Nazario....
31/01/2024

Afrika imezalisha nyota wa maana sana, wakati Ulaya wana Ronaldo na South Amerika wana Messi, Maradona, Pele na Nazario. Nani unadhani anaweza kuwa GOAT wa mpira wa afrika? Kuanzia kizazi cha kina Eto’o , Tumeweka baadhi yao kwenye orodha, unakubaliana nayo? Nani ungemtoa na ungemuweka nani?
Cheza Sasa: bit.ly/BookeebetGames

Address

45A Skytower
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when bookeeBet TZN posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to bookeeBet TZN:

Share

Category