KM Sports Club

KM Sports Club Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from KM Sports Club, Sports Team, Dar es Salaam.

Ndugu zetu, jamaa zetu, rafiki zetu wa muda wote Arnabu jogging clubTunawapenda sana Nakumbuka tulipokutana Iringa mlitu...
30/03/2023

Ndugu zetu, jamaa zetu, rafiki zetu wa muda wote Arnabu jogging club
Tunawapenda sana
Nakumbuka tulipokutana Iringa mlitupa sapot kubwa sana
Hasa mlipokuja kujoin nasi, hakika tulifurahi sana
Hatutaacha kuwapenda daima

Deal doneLeo tulikua na tukio la utiaji signKati ya viongozi wa Km sports club na wadhamini wa Bonanza letu Triple A spo...
30/03/2023

Deal done
Leo tulikua na tukio la utiaji sign
Kati ya viongozi wa Km sports club na wadhamini wa Bonanza letu Triple A sports & promotion

Rafiki zetu, ndugu zetu, jamaa zetu na nifamilia yetu piaVIMO JOGGING tunawapenda sana
29/03/2023

Rafiki zetu, ndugu zetu, jamaa zetu na nifamilia yetu pia
VIMO JOGGING tunawapenda sana

Michezo kwa afyaTunawakaribisha kujoin nasiKila siku za weakKatika viwanja vyetu vya Kikosi maalum ukonga magereza
29/03/2023

Michezo kwa afya
Tunawakaribisha kujoin nasi
Kila siku za weak
Katika viwanja vyetu vya
Kikosi maalum ukonga magereza

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when KM Sports Club posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category