24/08/2024
AZAM FC YAONDOLEWA KATIKA LIGI MABINGWA AFRIKA
APR inasonga Hatua inayofata Katika Ligi ya Mabingwa Afrika Baada ya Ushindi mnono Nyumbani wa Magoli Mawili Kwa Nunge na kufanya aggravate kuwa 2-1, Azam FC wanashindwa Kufua Dafu Ugenini
FT: Azam FC 0-2 APR FC
Aggravated (1-2)
Azam FC na Michuano ya CAF ni paka na panya , Rasmi Tanzania inabaki na Timu Moja Katika Michuano ya Ligi ya Mabingwa 😢