Uwanjani Leo

Uwanjani Leo Kuhusu michezo

Ng'ombee wa Manun'gu afikaaa jangwani
14/03/2022

Ng'ombee wa Manun'gu afikaaa jangwani

Klabu ya Fc Barcelona ipo karibu kukamilisha dili la mlinzi wa Ajax fc iliyopo uholanzi Naussair Mazrour...dili hilo lin...
14/03/2022

Klabu ya Fc Barcelona ipo karibu kukamilisha dili la mlinzi wa Ajax fc iliyopo uholanzi Naussair Mazrour...dili hilo linatabiliwaa kumalizikaa mwishoni mwa msimu huu na kujiunga na miamba hiyo ya Hispania kwa usajili uhuru

Like brother...like young
14/03/2022

Like brother...like young

 #28 Aishi Manula
14/03/2022

#28 Aishi Manula

Mshambuliaji mpya wa RC Berkane ..Fiston Abrudrazakh licha ya timu yakee kupoteza kwenye mchezo wa jana dhidi ya Simba S...
14/03/2022

Mshambuliaji mpya wa RC Berkane ..Fiston Abrudrazakh licha ya timu yakee kupoteza kwenye mchezo wa jana dhidi ya Simba Sc kombe la shirikisho bado ana imani kuwa Timu yakee imeshinda mchezo ule kutokana na maamuzi ya refa kuonekana hayajawafurahisha kwa upande wao..

Magazeti ya leo
14/03/2022

Magazeti ya leo

The GOAT
13/03/2022

The GOAT

Ujumbe wa Cesc Fabregas na Luis Suarez kwa Messi na Neymar baada ya kuzomewa na mashabiki kwenye league 1 huko Ufaransa
13/03/2022

Ujumbe wa Cesc Fabregas na Luis Suarez kwa Messi na Neymar baada ya kuzomewa na mashabiki kwenye league 1 huko Ufaransa

13/03/2022

Ujumbe wa mchezaji wa zamani wa fc barcelona pamoja na Aresanal Cesc Fabregas kwa Lionel Messi Pamoja na Neymar baaada ya kuzomewaa na mashabiki katika mchezo wa leaguee 1 PSG dhidi ya Bourdeaxe...pia ujumbe wa Mchezaji mwenzao wa zamani waliokipiga kwa pamoja katika klabu ya Fc Barcelona Luis suarez

Mtoto wa kijerumani Kai Havert amewaongezea tena point klabu yake ya chelsea fc dhidi ya Newcastle katika dakika ya lala...
13/03/2022

Mtoto wa kijerumani Kai Havert amewaongezea tena point klabu yake ya chelsea fc dhidi ya Newcastle katika dakika ya lala salama ya "88 na kufanya wazidi kuwasogelea liverpool fc ambayo inashika nafasi ya pili katika msimamo wa ligi kuu ta England ikiongozwa na vijana wa Pep Guardiola Manchester City

Ni kocha huyo wa klabu ya Yanga Sc akifuatilia mtanange wa Simba Sc dhidi ya RC Berkane hii leo katika uwanja wa Benjami...
13/03/2022

Ni kocha huyo wa klabu ya Yanga Sc akifuatilia mtanange wa Simba Sc dhidi ya RC Berkane hii leo katika uwanja wa Benjamin Mkapa

Address

Toangoma
Dar Es Salaam
SLP501

Telephone

+255767635982

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Uwanjani Leo posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share