YANGA YETU DAIMA

YANGA YETU DAIMA � SHABIKI WA UKWELI
� DAIMA MBELE NYUMA MWIKO

Point 3 muhimu 🔰
27/04/2024

Point 3 muhimu 🔰

HALF-TIME
27/04/2024

HALF-TIME

𝕆𝕗𝕗𝕤𝕚𝕕𝕖 𝕪𝕒 𝕟𝕪𝕠𝕜𝕨𝕖 🤓
21/04/2024

𝕆𝕗𝕗𝕤𝕚𝕕𝕖 𝕪𝕒 𝕟𝕪𝕠𝕜𝕨𝕖 🤓

Anaandika FARHAN KIHAMU ✍️Hawaeleweki tu wameshaamua hawataki kueleweka, mara Jonas Mkude amiliki dimba la Kirumba k**a ...
14/04/2024

Anaandika FARHAN KIHAMU ✍️

Hawaeleweki tu wameshaamua hawataki kueleweka, mara Jonas Mkude amiliki dimba la Kirumba k**a yeye ndie Chama Cha Mapinduzi (CCM) wameamua tu tusiwaelewe mara Joseph Guede atokee kwenye mechi muhimu tu, alitokea dhidi ya Belouzdad, akaja dhidi ya Mamelodi na leo kwenye operation Kirumba amezima Uchambuzi mwingi tu.

Hawaeleweki tu Wananchi, mara Gift Fred auwashe Beki wa pembeni wakati alisajiliwa k**a Beki wa kati, mara Clement Mzize asieleweke k**a anacheza Tisa ama kivuli, mara asitake kufunga zaidi ya kupika tu! Stephen Aziz Ki ndio kabisa simuelewi mara aje chini k**a Mkabaji mara abaki juu k**a False9 mara acheze na anaweka kamba yake ya kideo, simuelewi tu na ana mabao 14.

Siwaelewi Wananchi, ghafla akaingia Kibwana Shomari, kumbe Mudathir nae alikuwa bench mara Zawadi Mauya mara akaingia Farid M***a, siwaelewi kabisa Wananchi hivi hawana uchovu? Mara walisafiri mpaka Cairo, mara wakacheza mechi za Ligi Kuu, mara Pretoria na baadae Dodoma na leo Mwanza na bado hawajachoka siwaelewi kabisa.

Wamecheza kombe la CRDB bila Pacome Zouzoua na Kouassi Yao Yao na siwaelewi ni k**a hakuna kilichotokea maana Aucho aliingia tu kupasha misuli, wamecheza leo kombe la NBC bila Pacome na Zouzoua, siwaelewi zaidi maana Kouassi ameshapona na hawajataka kumtumia, siwaelewi kabisa Wananchi!

Haya baada ya kutozielewa sana timu nyingine kuwa hazina zinachofanya ule wakati wetu umefika sasa, sijui tutaelewana??___😀

Mpaka Azam Tv imewachanganya 😂🔥

🔥 MATCH DAY⚽ Coastal Union v Yanga SC🏆  📅 23 February 2020🕓 16th00 EAT  💚💛 https://t.co/8g4K0kujTW
23/02/2020

🔥 MATCH DAY
⚽ Coastal Union v Yanga SC
🏆
📅 23 February 2020
🕓 16th00 EAT

💚💛 https://t.co/8g4K0kujTW

Tumetoka mbali, na tunasonga mbele. Mwananchi Karibu tujumuike pamoja kuandika historia mpya ya Klabu yetu leo pale Uwan...
11/02/2020

Tumetoka mbali, na tunasonga mbele. Mwananchi Karibu tujumuike pamoja kuandika historia mpya ya Klabu yetu leo pale Uwanja wa Taifa Saa 1:00 usiku

VIP A - 15,000/-
VIP B&C 10,000/-
Mzunguuko 5,000/-

Pongezi kwa Mchezaji wetu  ambaye ameshinda tuzo ya mchezaji bora wa mechi yetu dhidi ya Ruvu Shooting. Ahsanteni sana w...
09/02/2020

Pongezi kwa Mchezaji wetu ambaye ameshinda tuzo ya mchezaji bora wa mechi yetu dhidi ya Ruvu Shooting. Ahsanteni sana wananchi kwa ushiriki wenu.

Takwimu zetu na Ruvu Shooting tangu msimu wa 2016/17 hadi sasa.
08/02/2020

Takwimu zetu na Ruvu Shooting tangu msimu wa 2016/17 hadi sasa.

Ataukosa mchezo ujao dhidi ya Lipuli FC
28/01/2020

Ataukosa mchezo ujao dhidi ya Lipuli FC

 . Tukutane Uwanja wa Taifa leo kwenye mchezo wetu dhidi ya Tanzania Prisons saa 10:00 jioni.VIP A 15,000/-VIP B&C 10,00...
26/01/2020

. Tukutane Uwanja wa Taifa leo kwenye mchezo wetu dhidi ya Tanzania Prisons saa 10:00 jioni.

VIP A 15,000/-
VIP B&C 10,000/-
Mzunguuko 3,000/-

Soka safiiiii kutoka kwa timu ya Wananchi 💚 💛
22/01/2020

Soka safiiiii kutoka kwa timu ya Wananchi 💚 💛

Mungu ibariki Yanga SC 🙏
22/01/2020

Mungu ibariki Yanga SC 🙏

Address

Jangwani
Dar Es Salaam
1935

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when YANGA YETU DAIMA posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to YANGA YETU DAIMA:

Share

Category