SIMBA SC DAMU

SIMBA SC  DAMU Mnyama Simba SC Tanzania Mwakilishi pekee wakutumainiwa kimataifa.

Mchezo umemalizika⚽🦍Maneno na dharau zote kwisha!!
14/05/2026

Mchezo umemalizika⚽🦍

Maneno na dharau zote kwisha!!


Jeshi la Simba SC.
14/05/2026

Jeshi la Simba SC.


Kikosi cha kazi.
10/05/2026

Kikosi cha kazi.


Simba SC imetwaa tuzo ya Klabu Bora ya Wanaume ya mwaka katika Tuzo za Baraza la Michezo la Taifa (BMT) 2025 zilizofanyi...
10/05/2026

Simba SC imetwaa tuzo ya Klabu Bora ya Wanaume ya mwaka katika Tuzo za Baraza la Michezo la Taifa (BMT) 2025 zilizofanyika Jijini Dar es salaam huku mafanikio hayo yakidhihirisha mwendelezo wa ubora wa Klabu hiyo katika mashindano mbalimbali ya ndani na Kimataifa kwa mwaka 2025.

Tuzo hiyo imetolewa Mei 9, 2026 katika Ukumbi wa The Super Dome, Masaki Jijini Dar es salaam ambapo imekabidhiwa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Gerson Msigwa, na kupokewa na Afisa Mtendaji Mkuu wa Simba SC, Zubeda Sakuru mbele ya Wadau mbalimbali wa michezo Nchini.

Nyiye wengine, janjajanja zenu za kushinda kwa karatasi na michongo ya timu pinzani, zinaoneka pia.


Maafisa wa mchezo wakesho    .
02/05/2026

Maafisa wa mchezo wakesho .

30/04/2026

Medali za ubingwa, siyo medali k**a shanga

Tumechukua kombe na tuzo zoteeeee za mapinduzi CUPTuzo ya mchezaji bora wa mashindano imekwenda kwa beki wa kati, Rushin...
29/04/2026

Tumechukua kombe na tuzo zoteeeee za mapinduzi CUP

Tuzo ya mchezaji bora wa mashindano imekwenda kwa beki wa kati, Rushine De Reuk.

Mfungaji wa bora Selemani Mwalimu 'Gomez' akiwa na magoli matatu.

Steve Barker ametwaa tuzo ya kocha bora wa mashindano.

Mchezaji bora chipukizi ikichukuliwa na kinda wa miaka 15, Hussein Ally Mbegu.

Hussein Abel ametwaa tuzo ya golikipa bora wa mashindano ya Muungano Cup 2026.


Matokeo ya Derby bila .....
29/04/2026

Matokeo ya Derby bila .....

Kikosi cha Mnyama.
26/04/2026

Kikosi cha Mnyama.

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when SIMBA SC DAMU posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to SIMBA SC DAMU:

Share

Category