Yangascpowerfull

Directions Contact the business

Yangascpowerfull Brand influencer sports
Always citizen🇹🇿💚
Wellcome Discus soccer💚🇹🇿

14/10/2026

Maneno yameishi haya isipokuwa watu
Wengine wanaponzwa na uchawa Kwenye mapokeo " Wengi wetu tunaponzwa na woga nikisema hivi boss atasemaje Ila Mimi naamini

Mpira hauna propaganda "

Bless your Day Haji Manara unawaamsha

Walio lala Bugatti Comrade Diwani

13/10/2026
12/10/2026

T utarudi t ukiwa imara

Shikamoo Jackrine OG

11/10/2026

Ilikuwa siku mbaya kwa kila mwananchi"
Ila TUMEPOTEZA mechi tulistahili kupoteza"

Simba walikuwa Bora kwetu wanastahili kushinda!

Sub ya kocha aliamini game plan ni kujilinda Ila haijawa bahati kwetu!

Tusahau results tupange yajayo!!!!!

09/10/2026

Sisi Tunaongea Uwanjani Zaid Saizi Tumewaachia Hao wengine Walio Chagua Kusema kila kitu Ila sisi Yanga Tunapaswa Kuwaonesha Ukubwa Wetu Uwanjani na sio Maneno

Eng Hersi Saidi, Raisi Wa Yanga Sc


09/10/2026

Kocha kwenye mchezo uliopita uliwapa shida sana Simba na kuwanyima nafasi ya kukushambulia kiasi walikuja kupata nafasi ya kupiga golini dakika za mwisho kabisa. Huu mchezo Kocha wa Simba anasema anataka kukupelekeeni moto…! Unakuja na mbinu gani!?

“Ile ni mechi tuliyowashika lakini ndio falsafa yangu…! Hata hii tutaenda hivyo hivyo…! Nataka tutawale mchezo, najua muda wa kushambulia, najua muda wa kuzuia na najua muda wa kuwamaliza wapinzani"

08/10/2026

* wonder kid

Address

Mfipa Street
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Yangascpowerfull posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Yangascpowerfull:

Shortcuts

Share

Category