Esportshd

Esportshd karibu sana kwenye chaneli yetu ya EsportsHD upate updates zetu mbalimbali,kwa maelezo wasiliana nasi

Cesar Manzoki yupo hapa uwanjani 🤩
31/01/2023

Cesar Manzoki yupo hapa uwanjani 🤩

HALF TIME!Azam FC 0-1 Al Hilal
31/01/2023

HALF TIME!
Azam FC 0-1 Al Hilal

Oscaroscarjr
26/01/2023

Oscaroscarjr

Inakuwaje hii waungwan🤔🤔 Haji manara
26/01/2023

Inakuwaje hii waungwan🤔🤔 Haji manara

Matokeo ya mechi ya jana Carabao Cup Marcus Rashford
26/01/2023

Matokeo ya mechi ya jana Carabao Cup Marcus Rashford

Msafara wa kumsindikiza marehemu aliyekuwa kaptein wa U17 wa singida big stars Mohammed banda katika jumba lake la milel...
26/01/2023

Msafara wa kumsindikiza marehemu aliyekuwa kaptein wa U17 wa singida big stars Mohammed banda katika jumba lake la milele
Singida Big Star FC

Azam TV Esportshd
26/01/2023

Azam TV Esportshd

Klabu ya Al Hilal ya Sudan kesho inatarajiwa kuja nchini kuweka kambi ya kujiandaa na Ligi ya Mabingwa Afrika ambapo Sim...
24/01/2023

Klabu ya Al Hilal ya Sudan kesho inatarajiwa kuja nchini kuweka kambi ya kujiandaa na Ligi

ya Mabingwa Afrika ambapo Simba SC tutakuwa wenyeji wao.

Wakiwa hapa Tanzania Al Hilal watacheza mechi tatu za kirafiki

Jan 26 Namungo Vs Al Hilal
Jan 31 Azam Vs Al Hilal
Feb 5 Simba Vs Al Hilal
Esportshd Simba SC Tanzania Azam FC Namungo Fc

Gabriel mertnelli anaichezea club ya arsenal Kawa ni moto Man u itawezaje kumkabili mchezaji huyo??? Tujadili swala hili...
24/01/2023

Gabriel mertnelli anaichezea club ya arsenal Kawa ni moto Man u itawezaje kumkabili mchezaji huyo??? Tujadili swala hili kidogo

AL Hilal kutuwa kesho jijini Dar es salaam🛬je,tutawaweza kuwafunga??? Au tujiandae kufungwa
24/01/2023

AL Hilal kutuwa kesho jijini Dar es salaam🛬je,tutawaweza kuwafunga??? Au tujiandae kufungwa

Pongezi kubwa sana kwa mchezaji wa dunia C.ronaldo ambaye kwasasa anachezea  Saudi Arabia katika timu ya AL nassr❤️❤️❤️v...
24/01/2023

Pongezi kubwa sana kwa mchezaji wa dunia C.ronaldo ambaye kwasasa anachezea Saudi Arabia katika timu ya AL nassr❤️❤️❤️vipi kuhusu Messi tashwishwi?

Top   group D team? Yanga ijipange msimu huu YANGA SC
24/01/2023

Top group D team? Yanga ijipange msimu huu YANGA SC

Address

Dar Es Salaam

Telephone

+255785448419

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Esportshd posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Esportshd:

Share

Category