Michezo na madinda jr.

Michezo na madinda jr. Michezo niburudan

25/08/2022
Kikosi kinachoanza dhidi ya Coastal Union
20/08/2022

Kikosi kinachoanza dhidi ya Coastal Union



... Salamu za pole kutoka katika klabu ya Simba SC kwenda Young Africans SC πŸ”°
20/08/2022

... Salamu za pole kutoka katika klabu ya Simba SC kwenda Young Africans SC πŸ”°

𝗠𝗔𝗧𝗖𝗛 π——π—”π—¬πŸ”°βš½οΈCoastal Union FC πŸ†š Young Africans SCπŸ—“ 20 Agosti 2022⏱ 10:00 Jioni 🏟 Uwanja wa Sheikh Amri Abeid πŸ†
20/08/2022

𝗠𝗔𝗧𝗖𝗛 π——π—”π—¬πŸ”°

⚽️Coastal Union FC πŸ†š Young Africans SC
πŸ—“ 20 Agosti 2022
⏱ 10:00 Jioni
🏟 Uwanja wa Sheikh Amri Abeid
πŸ†


Tanzia
20/08/2022

Tanzia


π—‘π—˜π—«π—§ π— π—”π—§π—–π—›πŸ”°βš½οΈCoastal Union FC πŸ†š Young Africans SCπŸ—“ 20 Agosti 2022⏱ 10:00 Jioni 🏟 Uwanja wa Sheikh Amri Abeid πŸ†
19/08/2022

π—‘π—˜π—«π—§ π— π—”π—§π—–π—›πŸ”°

⚽️Coastal Union FC πŸ†š Young Africans SC
πŸ—“ 20 Agosti 2022
⏱ 10:00 Jioni
🏟 Uwanja wa Sheikh Amri Abeid
πŸ†


.... Yanga wametua salama Arusha !
15/08/2022

.... Yanga wametua salama Arusha !

15/01/2022

🚨RATIBA

Timu ya Wananchi Yanga imefika salama mkoani Tanga tayari kwa mchezo dhidi ya Coastal union siku ya jumapili tarehe 16.1.2022 mchezo utakaopigwa kwenye dimba la mkwakwani.

Yanga imefika Tanga na wachezaji wao wote isipokuwa wachezaji watatu ambao ni majeruhi hawapo Tanga nao Ni pamoja na;

πŸ”° Yacouba songne (Yupo Tunisia amekwenda kuonana na Daktari kwa ajiri ya maendeleo ya jeraha lake ambalo alifanyiwa upasuaji mdogo wa goti la kulia)

πŸ”° Kibwana shomari (Yupo Tunisia kwa matibabu)
πŸ”° Abdallah shaibu Ninja (Yupo Tunisia kwa matibabu)

Wachezaji wengine wote pamoja na benchi la ufundi likiongozwa na Kocha Nabi lipo Tanga tayari kwa maandalizi ya mwisho kabla ya mchezo hapo kesho.

YANGA KUCHEZA MCHEZO WA KIRAFIKI ARUSHA JUMATANO DHIDI YA MBUNI FC UWANJA WA SHEKHE AMRI ABEID.

Timu ya Wananchi Yanga itaanza safari ya kwenda Mkoani Arusha siku ya jumatatu Asubuhi tarahe 17.1.2022 na baadae yaani jumatano ya tarehe 19.1.2022 Timu ya Wananchi Yanga watacheza mchezo wa kirafiki na MBUNI FC mchezo wa kirafiki kwenye dimba la Shekhe Amri Abeid kuanzia majira ya saa 10:00 jioni.

Mara baaada ya mchezo wa kirafiki Yanga wataanza tena safari ya kuwafuata wenyeji wao Police Tanzania.Mechi Kati ya Police Tanzania na Yanga itachezwa tarehe 23.1.2022 kwenye dimba la Ushirika.

All ze best timu ya Wananchi Yanga 🟒🟑πŸ’ͺπŸ’›πŸ’š

14/01/2022
14/01/2022

π—œπ—•π—₯π—”π—›π—œπ—  𝗕𝗔𝗖𝗖𝗔 is Green & Yellow πŸ”°


04/01/2022

DONE DEAL.✍️

𝗖𝗛π—₯π—œπ—¦π—£π—œπ—‘ π—‘π—šπ—¨π—¦π—›π—œ is now Green & YellowπŸ”°KUTOKA MBEYA KWANZA.


Address

Dar Es Salaam

Telephone

+255688121660

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Michezo na madinda jr. posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share