Sport shemdoe

Sport shemdoe Michezo

29/09/2025
29/06/2024

Ibenge akila mitaa TZ

MESSAGE YA INONGA KWA MASHABIKI WA SIMBAAsante sana kwa Familia nzima. Asante kwa kila kitu ulichofanya kwaajili yangu. ...
24/06/2024

MESSAGE YA INONGA KWA MASHABIKI WA SIMBA

Asante sana kwa Familia nzima. Asante kwa kila kitu ulichofanya kwaajili yangu. Nafikiri leo nataka kusema kwaheri. Asante Familia, unabaki kwenye moyo wangu. Siku zote uko kwenye moyo wangu.

Ikumbukwe Inonga alisaini mkataba wa awali na Klabu ya AS FAR mwezi January 2024. Baadaye ikathibitishwa tarehe 14, June aliposaini rasmi wakati timu yake ya Taifa ya Congo ilipoweka kambi fupi Nchini Morocco kabla ya kujiandaa na mechi za Kufuzu Kombe la Dunia.

Hivi katika club ya Simba SC Tanzania kuna mchezaji alishawahi kuwapa vitu vizuri zaidi ya mwamba wa lusaka anaedaiwa ku...
24/06/2024

Hivi katika club ya Simba SC Tanzania kuna mchezaji alishawahi kuwapa vitu vizuri zaidi ya mwamba wa lusaka anaedaiwa kutimkia kunako viunga vya jangwani?

Address

Tabata
Dar Es Salaam
TBT

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Sport shemdoe posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Sport shemdoe:

Shortcuts

Share

Category