Asiboy sport arena

Asiboy sport arena Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Asiboy sport arena, Stadium, arena & sports venue, Njaro, Dar es Salaam.

15/09/2022
31/08/2022

Ajax

AJAX MAPESA.

✍ Ajax Walimnunua Antony Matheus kwa €15M akitokea klabu ya Santos kwao Brazil wameuza kwa €100M

Ajax walimnunua Lisandro Martinez kwa €7M akitokea klabu ya Defensa kwao Argentina na wameuza Kwa €55M.

Faida kwa Antony €85
Faida kwa Lisandro €48

Jumla €133

31/08/2022
31/08/2022

💥Mechi ya leo ni muhimu sana kwa Kocha Florent Ibenge🇨🇩 kuliko mechi zote alizocheza tangu atue Al Hilal.

Kivipi?

Al Hilal 🇸🇩 watakutana na St.George🇪🇹 kwenye michuano ya CAF Champions league mwezi ujao..
St. George ambao walicheza na Simba🇹🇿 siku ya Simba Day na Simba kushinda mabao 2-0.
Hivyo watakuwa wanajipima na Timu sahihi kwao kuelekea mechi za Kimataifa.

Lakini pia, Al Hilal akimfunga St.George Ibenge anaamini anakwenda kukutana na Yanga sio Zalan, Yanga ambao ni wapinzani wa Simba...Hapa Ibenge anaamini Simba haitofautiani sana na Yanga kutokana na matokeo ya hivi karibuni kwenye mchezo wa Ngao ya Jamii, hivyo hii mechi itamuongezea kitu.

📌Hapa Ibenge amefanikiwa...Sema wale St. George wamemvuruga zaidi baada ya kumfunga mpinzani wake Al-Merrikh bao 3-0 hapo jana.

Bahati mbaya zaidi kwake, anaweza asipate uhalisia hasa kwa washambuliaji wake kutokana na baadhi ya key players wa Simba kukosekana kwenye mechi ya leo kutokana na majukumu ya Timu ya Taifa.

Mwisho naiona Al Hilal ikiwa ya moto sana leo...na ni kipimo sahihi sana kwa Zoran Maki kuelekea mchezo wake dhidi ya Nyasa Big Bullet🇲🇼 ugenini.

✍️ Imeandikwa na Sospeter Ilagila.

tufuatilie Instagram

https://www.instagram.com/p/Ch6hiNZKS9T/?igshid=YmMyMTA2M2Y=

29/08/2022

Shirikisho la Soka TFF limethibitisha kuwa Golikipa Juma Kaseja amechaguliwa kuwa Kocha wa makipa wa timu ya Taifa Stars.

Address

Njaro
Dar Es Salaam
0255255

Telephone

+255759667578

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Asiboy sport arena posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share