Michezo na burudani extra

Michezo na burudani extra Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Michezo na burudani extra, Sport & recreation, Kigamboni, Dar es Salaam.

Pele  Pigo kwa wanamichezo wote duniani😭😭😭        R.I.P PELE
29/12/2022

Pele
Pigo kwa wanamichezo wote duniani😭😭😭

R.I.P PELE

Je ni mnyama au sbs   Nani ataondoka kichwa chini?      Simba SC TanzaniaSingida Big Star FC     T.RobertsMo Dewji Found...
09/11/2022

Je ni mnyama au sbs
Nani ataondoka kichwa chini?
Simba SC Tanzania
Singida Big Star FC
T.RobertsMo Dewji Foundation MBET TotalEnergies CAF Champions League & Confederation Cup

Kuna haja hili kutazamwa kiundani zaidi.           "...Napelekeshwa zaidi na matumizi ya common sense kuliko kanuni au s...
09/11/2022

Kuna haja hili kutazamwa kiundani zaidi.
"...Napelekeshwa zaidi na matumizi ya common sense kuliko kanuni au sheria. Kwa mfano ile sheria ya PF3...kwamba unakaribia kufa lakini manesi na madokta wanasema hawakutibu hauna PF3 kutoka Polisi...Na tukirudi katika common sense kanuni inayomlazimisha mchezaji kumpa mwenzake mkono. Aishi Manula anamuona Prince Dube anapakaa mafuta ya Nguruwe kabla ya mechi, atampa mkono? Na mgeni wa heshima ambaye jana kanitukana Baa kwanini nimpe mkono? Ndio maana Wazungu wakaamua fair play isiwe lazima. Zaha hapigi magoti wakati issue hizi za kupiga magoti kabla ya mechi haijaanza. Hakuna adhabu. Ferdinanes waligoma kumpa mkono John Terry. Hakuna adhabu. Suarez aligoma kumpa mkono Evra. Hakuna adhabu. Adhabu aliyopewa ilihusiana na masuala ya ubaguzi. Inanichekesha watu wanapodeal na kanuni ambazo zilitungwa huku nusu ya Wajumbe wakivuta sigara nje. Na waliozikubali walikuwa busy wakisubiri posho zao. Katika soka la wanawake zipo? Kuna dada zetu wa Kiislamu wamefundishwa kutompa mkono mwanaume. Ni k**a yule Mama aliyekwepa kumpa mkono Uhuru Kenyatta.......Napenda kutumia common sense kuliko kanuni kwa sababu kanuni nyingi zinatungwa na watu wasiotumia common sense, hata huku dunia ya tatu....

(Morrison na Metacha wamepiga watu wamefungiwa mechi tatu...hawa hawajasalimia wamepigwa mechi tatu, is it right?)"

πŸ“Edo Kumwembe

Follow page πŸ™πŸ™

Simba Queen's vs mamelod Sundowns    Semi final    MBET. Simba SC Tanzania Mo Dewji Foundation
09/11/2022

Simba Queen's vs mamelod Sundowns
Semi final
MBET. Simba SC Tanzania Mo Dewji Foundation

𝗠𝗔𝗧𝗖𝗛 π——π—”π—¬πŸ”°βš½οΈ Club Africain πŸ†š Young Africans SCπŸ—“ 09 November 2022⏱ 12:00 Jioni - TUN | 02:00 Usiku - TZ 🏟 Hammedi Agrebi ...
09/11/2022

𝗠𝗔𝗧𝗖𝗛 π——π—”π—¬πŸ”°

⚽️ Club Africain πŸ†š Young Africans SC
πŸ—“ 09 November 2022
⏱ 12:00 Jioni - TUN | 02:00 Usiku - TZ
🏟 Hammedi Agrebi Olympic - Radès
πŸ†


MECHI SASA IMEKWISHA     HJe nini maoni yako    π—™π—¨π—Ÿπ—Ÿ π—§π—œπ— π—˜β±οΈYoung Africans SC 0-0 Club Africain
02/11/2022

MECHI SASA IMEKWISHA
H
Je nini maoni yako
π—™π—¨π—Ÿπ—Ÿ π—§π—œπ— π—˜β±οΈ

Young Africans SC 0-0 Club Africain


MSIMAMO: Mechi tisa pts 15 alaf unamzidi pts moja yaani 14 mwenye mechi sita.            Vipi kwenu hii imekaaje?       ...
26/10/2022

MSIMAMO:
Mechi tisa pts 15 alaf unamzidi pts moja yaani 14 mwenye mechi sita.
Vipi kwenu hii imekaaje?

BADO YUPO SANA     Uongozi wa Yanga Sc umewapa taarifa mashabiki na wanachama wake kuwa kocha NABI bado ni kocha mkuu wa...
25/10/2022

BADO YUPO SANA
Uongozi wa Yanga Sc umewapa taarifa mashabiki na wanachama wake kuwa kocha NABI bado ni kocha mkuu wa timu yao.
Na umewaomba kuwa watulivu.

Pia uongozi umemtaki kila lakheri kwenye maandalizi yake kuelekea Mchezo wa kesho dhidi ya KMC.
......
Follow page πŸ™πŸ™

.... Golikipa wa klabu ya Rayon Sports,  Ramadhan Kabwili πŸ‡ΉπŸ‡Ώ katika michezo miwili mfululizo ya ligi kuu ya Rwanda πŸ‡·πŸ‡Ό am...
25/10/2022

.... Golikipa wa klabu ya Rayon Sports, Ramadhan Kabwili πŸ‡ΉπŸ‡Ώ katika michezo miwili mfululizo ya ligi kuu ya Rwanda πŸ‡·πŸ‡Ό ameondoka na Cleansheets mbili.

β˜‘οΈ Police 0 - 1 Rayon
β˜‘οΈ Rayon 3 - 0 Espoil

πŸ‘• 02 - Games
πŸ”’ 02 - Cleansheets πŸ™Œ

KITUO KINACHOFUATA     tukutane lupaso kwa mkapa   Simba SC Tanzania
25/10/2022

KITUO KINACHOFUATA
tukutane lupaso kwa mkapa


Simba SC Tanzania

Focus one step a head
25/10/2022

Focus one step a head

Kocha Mkuu Juma Mgunda na Kocha Msaidizi Selemani Matola leo wamekabidhiwa tuzo na hati za pongezi kutoka Valor Tv kwa m...
25/10/2022

Kocha Mkuu Juma Mgunda na Kocha Msaidizi Selemani Matola leo wamekabidhiwa tuzo na hati za pongezi kutoka Valor Tv kwa mafanikio waliyopata ya kuifikisha timu kwenye hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika wakiwa makocha wazawa.

Address

Kigamboni
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Michezo na burudani extra posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Michezo na burudani extra:

Share