Milingoti mitatu

Milingoti mitatu Karibu katika ukurasa huu kupata kujua habari mbalimbali za kimichezo ndani na nje ya Tanzania

K**a uliangalia mpira katika ya Simba sc dhidi ya Orlando pirates  huyu jamaa unampa asilimia ngapi ??   nungunungu. :
18/04/2022

K**a uliangalia mpira katika ya Simba sc dhidi ya Orlando pirates huyu jamaa unampa asilimia ngapi ?? nungunungu.

:

Ameandika .adebayor kwenye ukurasa wake wa Instagrammarafiki zangu hongereni kwa ushindi wenu na nakumbuka sana upendo w...
18/04/2022

Ameandika .adebayor kwenye ukurasa wake wa Instagram

marafiki zangu hongereni kwa ushindi wenu na nakumbuka sana upendo wenu kwangu

✍️Orlando pirates News to Simba sc Haji Manara Receive News Amazing This is football don't panic 🗣️Call me Molauranta:
05/04/2022

✍️Orlando pirates News to Simba sc Haji Manara Receive News Amazing

This is football don't panic

🗣️Call me Molauranta
:

Baada ya kufanyika Droo ya kombe la klabu bingwa AfrikaEs- Setif vs Es TunisCR - Belouizdad vs Wydad ACAl - Ahly sc vs R...
05/04/2022

Baada ya kufanyika Droo ya kombe la klabu bingwa Afrika

Es- Setif vs Es Tunis
CR - Belouizdad vs Wydad AC
Al - Ahly sc vs Raca CA
Atletico Petroloes vs Mamelodi Sundowns

✅Baada ya Draw ya hatua ya Robo fainali kufanyika SIMBA SC VS ORLANDO PIRATES  AL ITTIHAD vs  ALHI TRIPOLI PYRAMIDY VS  ...
05/04/2022

✅Baada ya Draw ya hatua ya Robo fainali kufanyika

SIMBA SC VS ORLANDO PIRATES

AL ITTIHAD vs ALHI TRIPOLI

PYRAMIDY VS TP MAZEMBE

AL MASRY SC VS RS BERKANE

mkondo wa kwanza 17 April 2022

mkondo wa pili 24 April 2022

SIMBA ROBO FAINALI klabu ya simba sc yatinga hatua ya Robo fainali kombe la shirikisho Afrika baada kuifunga US Genderme...
03/04/2022

SIMBA ROBO FAINALI

klabu ya simba sc yatinga hatua ya Robo fainali kombe la shirikisho Afrika baada kuifunga US Gendermerine National magoli 4-0 magoli yalifungwa na Kanoute 63' Mugalu ambaye ameingia kambani mara mbili dakika 68 na dakika 78 na goli la nne amejifunga mchezaji wa US Gendermerine National Hamisi dakika 84 ya mchezo.

Simba sc washika nafasi ya Pili wakiwa na alama 10 na magoli yakufungwa na kufunga 2 ya kundi lao D ambapo nafasi ya kwanza ikiongozwa na RSB Berkane wa Morocco ambao nao wana alama 10 magoli yakufungwa na kufunga 2.

ALEX KABANGA CHALI MBELE YA TWAHA KIDUKU Bondia Mtanzania 🇹🇿Twaha kiduku rasmi bingwa UBO Afrika katika uzito wa Super m...
26/03/2022

ALEX KABANGA CHALI MBELE YA TWAHA KIDUKU

Bondia Mtanzania 🇹🇿Twaha kiduku rasmi bingwa UBO Afrika katika uzito wa Super middle baada ya kumtwangwa kwa alama ( point) mpinzani wake Alex Kabanga raia kutoka DR Congo anaishi nchini Afrika kusini.

📸 by Azam tv

MATOKEO YA MICHEZO YA KUFUZU KOMBE LA DUNIA NCHINI QATAR 2022 MATAIFA KUTOKA AFRIKA.DR CONGO  1-1  MOROCCO CAMEROON  0-1...
25/03/2022

MATOKEO YA MICHEZO YA KUFUZU KOMBE LA DUNIA NCHINI QATAR 2022 MATAIFA KUTOKA AFRIKA.

DR CONGO 1-1 MOROCCO
CAMEROON 0-1 ALGERIA
MALI 0-1 TUNISIA
EGYPT 1-0 SENEGAL
GHANA 0-0 NIGERIA

Michezo ya kulidiana itachezwa Mach 29 ,2022 siku ya jumanne.

Je! timu ipi hapo unaipa nafasi ya kufuzu kombe la dunia nchini Qatar 2022.
:

TANZIA:TAARIFA za hivi punde zinasema  Mchezaji Ally Mtoni Sonso amefariki dunia.Kwa mujibu wa taarifa hizo zinasema, Ms...
11/02/2022

TANZIA:

TAARIFA za hivi punde zinasema Mchezaji Ally Mtoni Sonso amefariki dunia.

Kwa mujibu wa taarifa hizo zinasema, Msiba umetokea Hospital ya Taifa ya Muhimbili muda mchache uliopita.

FRANCIS BARAZA - Kocha Bora wa Ligi Kuu ya NBC mwezi Januari, 2022.
07/02/2022

FRANCIS BARAZA - Kocha Bora wa Ligi Kuu ya NBC mwezi Januari, 2022.


FISTON MAYELE - Mchezaji Bora wa Ligi Kuu ya NBC mwezi Januari, 2022.
07/02/2022

FISTON MAYELE - Mchezaji Bora wa Ligi Kuu ya NBC mwezi Januari, 2022.


 # ///Nimeona mjadala wa VAR 👏👏 ni wazo zuri naamini nia ni kuufanya mpira wa nchi hii uendelee kuwa bora zaidi.Lakin kw...
07/02/2022

#

///
Nimeona mjadala wa VAR 👏👏 ni wazo zuri naamini nia ni kuufanya mpira wa nchi hii uendelee kuwa bora zaidi.

Lakin kwangu VAR sio tatizo la msingi la mpira wetu.

Tatizo la msingi la mpira wetu ni sehemu ya kuchezea (PITCH).

Tuna pitch mbovu sana nchi hii ukitoa Taifa, Azam Complex na Kaitaba, viwanja vingi vilivyosalia ni changamoto.

Mpaka leo viwanja vyetu vinapakwa chokaa kabla ya mechi na baada ya muda chokaa inafutika uwanja unakua hauna mistari.

Mvua zikinyesha kidogo tuu mpira hauchezeki

Mechi nyingi zinachezwa kwa kulazimishwa mfano mechi ya Mbeya City Vs Ruvu Shooting haikupaswa kuchezwa pale Sokoine.

Ushauri wangu kabla ya ku invest kwenye VAR tungejikita kuboresha viwanja..

Europe walianza kuboresha viwanja ndo wakaja kwenye VAR.

Na kabla ya kufika kwenye VAR mamlaka husika waendelee kuboresha viwango vya waamuzi wetu wapate seminar za kutosha na wapate mechi kubwa za Afrika ili kuongeza uzoefu na kujiamini kwao.

Tukishamaliza kuwekeza kwenye Pitch ndio tutakuja kwenye VAR.

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Milingoti mitatu posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Milingoti mitatu:

Share