Timu Bora

Timu Bora Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Timu Bora, Football Stadium, Dar es Salaam.

RESPECT 🙌🙌🙌-Huyu Ni refarii kutoka Zambia anaitwa Janny Sikazwe aliwahi kumaliza pambano la  Mali-Tunisia dakika ya 86 K...
26/11/2022

RESPECT 🙌🙌🙌
-Huyu Ni refarii kutoka Zambia anaitwa Janny Sikazwe aliwahi kumaliza pambano la Mali-Tunisia dakika ya 86 Kwenye mashindano ya mataifa ya Afrika.

-Licha ya kubezwa sana mitandaoni baadaye uchunguzi ulibainisha kuwa hakuwa sawa kutokana na athari ya joto kubwa (mwili kushindwa kuendana na joto kubwa kwenye mazingira ya nje ya mwili)

-Sasa yuko Kombe la Dunia na moja ya michezo aliyochezesha ni kati ya Belgium Vs Canada. Pambano hilo alilimudu vyema na kuwaacha wengi midomo wazi hasa waliokuwa wakibeza uwezo wake.

-Put Respect on what you do, love your work, fight your war.

-Lastly, pay respect for those who Respect 👏👏

✍️

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Timu Bora posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share