Keko mwanga Sports Club

Keko mwanga Sports Club Hii ni kurasa rasmi ya Keko Mwanga Sports Club, hii ni club ya michezo iliyoanzishwa eneo la keko mwanga, kata ya Keko, Temeke, Dar es salaam.

Inahusisha michezo mbalimbali ikiwemo mpira wa miguu na Boxing

SAPOTIIIIIIIIIIli timu iweze kudumu inahitaji kuungwa mkono na watu. Tunapenda kutambulisha rasmi bidhaa zetu ambazo kwa...
18/04/2020

SAPOTIIIIIIIII

Ili timu iweze kudumu inahitaji kuungwa mkono na watu.

Tunapenda kutambulisha rasmi bidhaa zetu ambazo kwa kununua utakuwa umeshaiunga mkono timu yako pendwa ya Keko Mwanga Sports Club. Sasa unaweza kujipatia sweta (hood) kwa Tsh. 20,000/- tu kwa bei ya rejareja. Ukihitaji kwa bei ya jumla unaweza kuwasiliana nasi.

Address

Keko Mwanga, Keko, Temeke
Dar Es Salaam
255

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Keko mwanga Sports Club posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Keko mwanga Sports Club:

Share

Category