GHOST Fitness GYM

GHOST Fitness GYM Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from GHOST Fitness GYM, Personal trainer, Kimara, Dar es Salaam.

CHUO CHA NGUMI
KWA MAZOEZI YA KUTENGENEZA MWILI PAMOJA NA MAZOEZI YA BOXING PROFESSIONAL KALIBU
MAWASILIANO 👇👇👇
whatsap no +255780442217

TIKTOK...https://www.tiktok.com/?_r=1&_t=ZS-98Sof9Zzc8a

29/08/2026

Unapo piga bag chakwanza akikisha una relax uki relax ina kutengenezea wepesi wa kupiga bag automaticl
Cha pili akikisha una piga kutokana na step punch ambazo ulifundishwa na coach wako
Cha tatu tengeneza picha alisi kichwani wakati una piga bag yan imagenation.hii itakusaidia kupiga kwa hesabu na movement halisi GHOST Fitness GYM Xam Trainer

27/08/2026

Dah..!😀
Ina chekesha k**a hakuna ndugu yako mungu atupe nguvu
Kwann watu ufanya burudani kwa watu wasio na birudani.? GHOST Fitness GYM Xam Trainer

27/08/2026

Ooh😳😳
Mambo matatu muhimu
Moja kujilinda
Mbili kuto kufosi ama kuingia kwenye mfumo wa mpinzani
Tatu kuwa na mahamuzi pindi unapo shambuliwa .... GHOST Fitness GYM Xam Trainer

23/08/2026

Hardwork💪
Boxing ni mchezo wa vija tuliotekea kwenye maisha ya kimaskini
Kwakuwa tuna ndoto kubwa za kukombowa maisha yetu ivyo inatakiwa kupenda nakulinda tunacho fanya tua chane na usela kwani boxing nikazi ili kufanikiwa inatakiwa kujali kazi GHOST Fitness GYM Xam Trainer

19/08/2026

Dah.!🤣
Ivi kwani ngumi watu wana zichukuliaje aisee dah.!🤣🤣🤣 GHOST Fitness GYM Xam Trainer #

17/08/2026

Dev😈
GHOST Fitness GYM Xam Trainer

17/08/2026

Dah.!😥
Boxing ni mchezo hatari sana
Napia boxing ni mchezo wa vijana masikini
Ivyo tu ueshimu sana huu mchezo GHOST Fitness GYM Xam Trainer

13/08/2026

Mwalimu wa mathe yupo wap😀😀

GHOST Fitness GYM Xam Trainer

Address

Kimara
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when GHOST Fitness GYM posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to GHOST Fitness GYM:

Shortcuts

Share