Simba ni team yetu

Simba ni team yetu Simba nguvu moja

Taarifa mbili kuhusu maboresho ndani ya timu zitakujia leo kupitia Simba App.Saa 7:00 mchanaSaa 11:00 jioniMuhimu ni kup...
19/06/2024

Taarifa mbili kuhusu maboresho ndani ya timu zitakujia leo kupitia Simba App.

Saa 7:00 mchana
Saa 11:00 jioni

Muhimu ni kupakua na kulipia app yetu ili uwe wa kwanza kupata taarifa hizi.

Taarifa kuhusu maboresho ya kikosi chetu itakujia leo kupitia Simba App.⏰ Saa 7:00 MchanaMuhimu ni kupakua na kulipia ap...
17/06/2024

Taarifa kuhusu maboresho ya kikosi chetu itakujia leo kupitia Simba App.

⏰ Saa 7:00 Mchana

Muhimu ni kupakua na kulipia app yetu ili uwe wa kwanza kupata taarifa hizi. follow page yetu

29/02/2024

Habari

Jamaa kaamka asubuhi, kavaa track suit na kumuamsha mkewe!MUME: Amka twende jogging mke wangu? 😊MKE: Alaaa kwa hiyo una ...
14/09/2023

Jamaa kaamka asubuhi, kavaa track suit na kumuamsha mkewe!

MUME: Amka twende jogging mke wangu? 😊
MKE: Alaaa kwa hiyo una maana mi tipwatipwa?πŸ˜’

MUME: Hapana si hivyo jogging ni nzuri kwa afya. 😯
MKE: Kwa hiyo una maana mi mgonjwa? πŸ˜•

MUME: Basi yaishe endelea kulalaπŸ€—
MKE: Kwa hiyo unaniona mi mvivu sana sio? πŸ€’

MUME: Hujanielewa mpenzi wangu sikuwa na maana hiyo baby 😧
MKE: Kwa hiyo mie mjinga mpaka nashindwa kukuelewa?😷
MUME: Jamani mi sijasema hilo😞
MKE: Kwa hiyo mie muongo?

MUME: Chonde tusiendeleze haya asubuhi namna hii😣
MKE: Kwa hiyo mie ndio naendeleza ugomvi?😀

MUME: Sikia we lala mie naenda jogging.😡
MKE: Ndio zako hizo mambo yote unafanya peke yako hunishirikishi"🀐

MUME: Unajua nimeanza kusikia kizunguzungu
MKE: Unaona nikiongea kidogo unakimbilia kuumwa, mbinafsi sana wewe...

MUME: Basi ngoja tu nilale siendi jogging
Mke: Kwahiyo ulikua unanijaribu?

πŸ˜°πŸ˜°πŸ˜°πŸ˜°πŸ˜°πŸ˜‡πŸ˜‡πŸ˜‡πŸ˜‡
Wanawake Mungu anawaona

Ukitaka kucheka zaidi WhatsApp 0714814995 by Emma King Tz Mastory

Hawa hapa makamanda wa leo dhidi ya Dodoma Jiji.
20/08/2023

Hawa hapa makamanda wa leo dhidi ya Dodoma Jiji.

Taarifa kwa vyombo vya habari.
23/07/2023

Taarifa kwa vyombo vya habari.

Address

Moro
Dar Es Salaam
255

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Simba ni team yetu posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category