chupli chupli za soccer

chupli chupli za soccer soccer

Hesabu za tukiwaki😅😅😅
21/12/2023

Hesabu za tukiwaki😅😅😅

KUHUSU AUBIN KRAMO 🔥🔥🔥Nyota wa Simba, Aubin Kramo anatarajiwa kurejea nchini wiki Ijayo kutokea Tunisia 🇹🇳 akiwa fiti ma...
14/12/2023

KUHUSU AUBIN KRAMO 🔥🔥🔥

Nyota wa Simba, Aubin Kramo anatarajiwa kurejea nchini wiki Ijayo kutokea Tunisia 🇹🇳 akiwa fiti mara baada ya kupona majeraha ya goti yaliyopelekea afanyiwe upasuaji.

Nyota huyo wa zamani wa ASEC MIMOSAS tayari amemaliza programu za awali za mazoezi ya utimamu wa mwili 'Fitness' na atakapotua moja kwa moja ataungana na timu kwa ajili ya maandalizi ya mchezo wao dhidi ya Wydad Casablanca.

WANASIMBA MNASEMAJE?

13/08/2022

Address

Dar Es Salaam
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when chupli chupli za soccer posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to chupli chupli za soccer:

Share

Category