13/10/2023
USI SUBIRI TATIZO LIWE KUBWA NDUGU ZANGU KIASI HIKI
UNASUMBULIWA NA FANGASI?
Fangasi ni nini?
⚠️Fangasi Ni Viumbe hai Ambavyo vinazaliana kwa Kutengeneza Umbile k**a Sponchi Katika sehemu chafu, Sehemu yenye unyevu unyevu, Sehemu yenye joto. Ni Kundi la viumbe tofauti na Wanyama, Mimea, Na Bacteria. Wanaishi Sehemu Yenye uchafu, Kwenye Mimea au wanyama au Eneo lolote chafu.
⚠️Kuna baadhi ya Fangasi Wanaishi Kwa kutegemea Viumbe Hai k**a wanyama na mimea, Wanaishi Ndani Ya Au Nje ya Viumbe Vingine.
⚠️Viumbe hawa Fangasi Wanapopata Mazingiza Rafiki Kwa Ajili ya Kujizalisha Ndipo Wanapoanza Kuonesha Madhara yake kwenye mwili wa kiumbe hai k**a vile binadamu au mimea.
⚠️Mazingiza Rafiki Kwa fangasi Kuzaliana ni UCHAFU, UNYEVU UNYEVU k**a Jasho Na JOTO.
⚠️Vinapopata hayo mazingira matatu Katika mwili wako Basi Hutengeneza Umbile k**a Sponchi Juu ya ngozi yako Au Ndani Ya Mwili wako na Kutoa Vimeng'enya Ambavyo Vinasaga kwa kuunguza ngozi au sehemu yoyote ya mwili wako Na Hapo Ndio utaanza kuhisi MUWASHO, na Baadae Utaona Kitu K**a MAJIVU au UNGA UNGA kwenye Ngozi Yako Na Baadae kabisa Kwa kujikuna kwako Au Kwa kutoshughulikia tatizo hilo Linapelekea Ngozi kuliwa (Hasa sehemu ya ngozi inayoitwa KERATIN).
⚠️Keratin Ni Sehemu ya nje kabisa Ya mwili Wako Ambayo Inahusika na Utengenezaji Wa Gamba La ngozi, Vinyweleo, Kucha Na Nywele.
⚠️Hivyo Keratin Inaposhambuliwa na Fangasi Ndio Utaona Ngozi Inakuwa nyekundu na Kuwaka moto, Kucha Kushambuliwa Na Vinyweleo Kutomea Sehemu hiyo.
⚠️FANGASI wapo Wa aina Nyingi ila Ambazo humsumbua Binadamu Sana ni Pamoja na
1.CANDIDA ambazo Hushambulia Sehemu Zenye Ute K**a Njia ya mkojo(UKE AU UUME)
2.RINGWORM Hawa Hushambulia ngozi, Seli Za kucha na Seli za vinyweleo. Fangasi za Sehemu za siri, kucha, Katikati Ya Vidole vya miguu na mikono.
3.ONYCHOMYCOSIS hawa Hushambulia kucha Za miguu Na Mikono.
DALILI ZA FANGASI
ℹMuwasho Wakati Wa joto
ℹMuwasho Baada ya kuoga
ℹUnga unga Mweupe juu ya ngozi Hasa sehemu za siri
ℹKutokwa na Maji Maji Ya brown Ukeni Unaonuka
ℹMaumivu makali na mchubuko Kwenye Ngozi.
K**a Una Dalili hizi Na Unahitaji Dawa Ya Kutibu Gusa Sehemu Ya Meseji Hapo Na tuchati inbox ili nikuunganishe na mtaalamu Wa Tiba za fangasi Au piga 0749 60 2226
Kwa Dar es Salaam Anakuleta ulipo Na Kwa mkoani Anakutumia Popote ulipo.
Pia Anauza Dawa za Fangasi jumla k**a utahitaji.
NB: Unavyojikuna ndivyo unazidi kueneza ugonjwa. Unavyozidi Kuchelewa kutatua tatizo ndivyo fangasi wanazidi kuisogelea damu. Wakiingia kwenye damu Utachukua Muda mrefu kupona