jacob_ntulo_official_the_world

jacob_ntulo_official_the_world Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from jacob_ntulo_official_the_world, Sports, Dar es Salaam.

Nukuu ya leo kutoka kwa Birthday Boy Ntulo Jb93 Ni hii ~Kuna watu baada ya KUKUTANA NAO, unatamani k**a UNGEWAFAHAMU mia...
08/03/2025

Nukuu ya leo kutoka kwa Birthday Boy Ntulo Jb93 Ni hii ~Kuna watu baada ya KUKUTANA NAO, unatamani k**a UNGEWAFAHAMU miaka MINGI ILIYOPITA, ila Pia Kuna watu baada ya kukutana nao UNATAMANI USINGEWAHI KUKUTANA NAO KABISA kwenye maisha yako kutokana na MAUMIVU WALIYOKUACHIA.

Ndio maana ni MUHIMU sana kuendelea kumuomba MUNGU ili AKUKUTANISHE na watu SAHIHI, kwa sababu watu wanaweza aidha KUHARIBU MAISHA YAKO au KUKUSAIDIA kuwa MWANZO WA FURAHA NA MAFANIKIO YAKO AHSANTE SANA WAZAZI WANGU MPAKA HAPA NILIPO SIFA NYINGI NI ZENU PIAH BILA KUSAHAU NDUGU JAMAA NA MARAFIKI AMBAO WANANIZUNGUKA NAWASHUKURUN KWA UMOJA WENU MUNGU AWABARIKI NYOTE.+1🎂🍽️🍴🥂

23/02/2025
Vikwazo, changamoto, na maneno ya watu hayawezi kukuzuia kufikia ndoto zako. Ni maamuzi yako na jinsi unavyochukua hatua...
20/01/2025

Vikwazo, changamoto, na maneno ya watu hayawezi kukuzuia kufikia ndoto zako.

Ni maamuzi yako na jinsi unavyochukua hatua ndivyo vitakavyoamua safari yako ya mafanikio.

Jiamini, songa mbele, na usikubali kujizuia

Kila kushindwa kuna funzo kubwa, Usikubali changamoto zikatishe ndoto zako, usiogope kujaribu tenaMafanikio yanajengwa n...
11/01/2025

Kila kushindwa kuna funzo kubwa, Usikubali changamoto zikatishe ndoto zako, usiogope kujaribu tena

Mafanikio yanajengwa na uvumilivu, bidii, na kuamini kwamba kila hatua, hata inayoshindwa, ni sehemu ya safari yako ya ukuaji, usikate tamaa

Ukichelewa kujielewa halafu ukaja kujielewa ukubwani unakuwa na kaushamba cha kujielewa🫔
04/01/2025

Ukichelewa kujielewa halafu ukaja kujielewa ukubwani unakuwa na kaushamba cha kujielewa🫔

.. Amini kile ambacho moyo wako unakusukuma kufanya na sio kile ambacho watu wanasemaHaujaumbwa kumfurahisha kila mtu us...
04/01/2025

.. Amini kile ambacho moyo wako unakusukuma kufanya na sio kile ambacho watu wanasema

Haujaumbwa kumfurahisha kila mtu usijitwishe mzigo usio kuhusu tatizo watu wema wanakujaga wakati ambao tumeshaacha kuwaamin watu

Ngumu sana kumtunza mwanamke ambae anaamini uzuri wake utamtoa kwenye umasikini
27/12/2024

Ngumu sana kumtunza mwanamke ambae anaamini uzuri wake utamtoa kwenye umasikini

.. Usiruhusu watu wakupangie namna ya kuishi ikiwa kwenye magumu yako huwa hawakusaidi k**a unaamin unachofanya usiruhus...
27/12/2024

.. Usiruhusu watu wakupangie namna ya kuishi ikiwa kwenye magumu yako huwa hawakusaidi k**a unaamin unachofanya usiruhusu watu wakurudishe nyuma

Manahodha wengi chombo huenda mrama

🔑🙌

FAMILIAA.. *Kila ulipo ni mlango wa mafanikio fanya tu kazi kwa bidiii kuwa mvumilivu weka malengo jali muda halafu zing...
27/12/2024

FAMILIAA
.. *Kila ulipo ni mlango wa mafanikio fanya tu kazi kwa bidiii kuwa mvumilivu weka malengo jali muda halafu zingatia Sala hatujui k**a tutapata ila tuna iman na anaetoa

Mola aibariki siku yako leo iwe yenye baraka

Tuishi maisha yetu kuna kesho baada ya fake ya leo.Jikubali na kipato chako jikubali ulivyo, jiamini.Wewe sio wao na wao...
22/11/2024

Tuishi maisha yetu kuna kesho baada ya fake ya leo.

Jikubali na kipato chako jikubali ulivyo, jiamini.

Wewe sio wao na wao sio wewe ✍️

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when jacob_ntulo_official_the_world posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category