Pavard JR

Pavard JR Sport for Refreshment

02/07/2024

Time flies 😭😢

08/10/2023

Kila la kheri wekundu wa msimbazi kwenye gemu ya Leo.

Kila la kheri chama langu la wekundu wa msimbazi kwenye gemu yetu ya Leo 🙏. Inshallah tutashinda na kufuzu makundi sema ...
01/10/2023

Kila la kheri chama langu la wekundu wa msimbazi kwenye gemu yetu ya Leo 🙏. Inshallah tutashinda na kufuzu makundi sema ameeni.

Wamefuzu lakini hawana furaha kwasababu wanaelewa baada ya miaka 25 ndo wanafika  level ambayo Simba wameshafanya hvyo s...
01/10/2023

Wamefuzu lakini hawana furaha kwasababu wanaelewa baada ya miaka 25 ndo wanafika level ambayo Simba wameshafanya hvyo sana tu kwahyo hmna maajabu.

Nchi hii bila Simba kufanya vizuri kimataifa Tanzania tusingepata nafasi ya kuandaa AFCON
30/09/2023

Nchi hii bila Simba kufanya vizuri kimataifa Tanzania tusingepata nafasi ya kuandaa AFCON

Unawakumbuka Hawa viungo Bora kuwahi kutokea katika ulimwengu wa soka
16/09/2023

Unawakumbuka Hawa viungo Bora kuwahi kutokea katika ulimwengu wa soka

Chuma Cha reli....
19/08/2023

Chuma Cha reli....

Tukisema simba timu kubwa ndo tuna maamisha hivi ,,, Siku tatu kabla ya gemu tushamaliza ticketi zooote
03/08/2023

Tukisema simba timu kubwa ndo tuna maamisha hivi ,,, Siku tatu kabla ya gemu tushamaliza ticketi zooote

Mtoto kaludi nyumbani watakoma kulinga huu mwaka
26/07/2023

Mtoto kaludi nyumbani watakoma kulinga huu mwaka

Pape Sakho, Peter Banda , Habibu kyombo hawana nafasi kwenye kikosi Cha Simba watafute pakwenda
26/05/2023

Pape Sakho, Peter Banda , Habibu kyombo hawana nafasi kwenye kikosi Cha Simba watafute pakwenda

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Pavard JR posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category