twendebutiama

twendebutiama Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from twendebutiama, Sports, Butiama.

🗓: 13 Aprili, 1922 Alizaliwa siku ya Mvua Kubwa, hivyo kupewa jina KAMBARAGE lenye maana MZIMU UNAOISHI KWENYE MVUA. Her...
17/04/2026

🗓: 13 Aprili, 1922 Alizaliwa siku ya Mvua Kubwa, hivyo kupewa jina KAMBARAGE lenye maana MZIMU UNAOISHI KWENYE MVUA. Heri ya Kumbukizi ya Miaka 104 kwa Rais wa Kwanza wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (1961 - 1985), Hayati Julius Kambarage Nyerere.


20/03/2026

Ujumuishaji wa makusudi unamaanisha kubuni kwa heshima na utu tangu hatua ya mwanzo. Katika Shule ya Msingi Sima A, Bariadi, maboresho ya miundombinu ya usafi yamebuniwa kwa kuzingatia mahitaji ya kila mwanafunzi, hususan wanafunzi wenye mahitaji maalum.

Vyoo hivi vya shimo havikujengwa k**a nyongeza ya baadaye, bali vimeundwa mahsusi kuhakikisha kuwa upatikanaji, usalama na utu vinakuwa viwango vya kawaida, si huduma za ziada. Ujumuishaji unahusu kuondoa vikwazo ili kila mtoto aweze kusonga, kujifunza na kukua kwa kujiamini.

Tunapobuni kwa makusudi, tunatambua kuwa mahitaji ya msingi k**a vile usafi salama na unaofikika ni nguzo muhimu ya mchakato wa ujifunzaji. Mpango huu, uliotekelezwa kwa ushirikiano wa Vodacom, TwendeButiama na Stanbic Bank, unaonesha matokeo chanya pale taasisi zinapojumuisha misingi ya ujumuishaji katika kila uamuzi—kuanzia hatua ya awali kabisa.





18/03/2026

Zamani tulikuwa tunapitia changamoto…” Ni maneno ya mwanafunzi wa Shule ya Msingi Madaraka, Butiama, akisimulia hali waliokuwa wakikabiliana nayo kila siku shuleni. Leo, simulizi hii inaanza kubadilika. Kupitia ujenzi wa matundu ya vyoo vya kisasa wanafunzi sasa wana nafasi ya kujifunza katika mazingira salama, na safi. Mazingira yanayochangia si tu afya zao, bali pia kujiamini na uwezo wao wa kuzingatia masomo. Mradi huu, uliotekelezwa kwa ushirikiano wa Twende Butiama na Stanbic Bank, unaonyesha umuhimu wa kusikiliza mahitaji ya jamii na kutoa suluhisho zinazogusa maisha halisi.

What a joy it is to ride….. together. Merry Christmas and Happy Holidays to our cycling family. Thank you for every mile...
25/12/2025

What a joy it is to ride….. together. Merry Christmas and Happy Holidays to our cycling family. Thank you for every mile, every smile, every moment. 🎉🎄🚴🏾🚴🏾‍♀️

One road 🛣️ |One purposeAt TwendeButiama we ride for peace, love and unity  proving that Africa is stronger when we move...
21/12/2025

One road 🛣️ |One purpose

At TwendeButiama we ride for peace, love and unity proving that Africa is stronger when we move forward together. 🚴🏾‍♂️🌍🤝

TwendeButiama: Cycling for Education, Riding for the Future 🚴🏾‍♂️📚Every pedal stroke carries a message of discipline, re...
19/12/2025

TwendeButiama:
Cycling for Education, Riding for the Future 🚴🏾‍♂️📚

Every pedal stroke carries a message of discipline, resilience, and commitment to learning.
By bringing cyclists closer to schools and communities, TwendeButiama shows children that education is a journey worth the effort, just like every pedal stroke at a time.

When we cycle with purpose, we motivate young minds to stay in school, dream bigger, and build a stronger future.






ABC Bicycle Company Limited
juliuskambaragenyerere
madarakanyerere
godfreymadaraka

Cycling Lovers, among our TwendeButiama partners are on their mission to climb Mount Kilimanjaro. May the Almighty guide...
07/12/2025

Cycling Lovers, among our TwendeButiama partners are on their mission to climb Mount Kilimanjaro.
May the Almighty guide you to fulfill your Purpose.



TwendeButiama ni Msafara wa Baiskeli wenye lengo la kumuenzi Baba wa Taifa Mwl Julius Kambarage Nyerere. Kila mwaka Okto...
16/11/2025

TwendeButiama ni Msafara wa Baiskeli wenye lengo la kumuenzi Baba wa Taifa Mwl Julius Kambarage Nyerere.
Kila mwaka Oktoba 14, TwendeButiama huungana na watanzania na dunia kwa ujumla kwenye kumbukizi ya kifo chake kilichotokea Oktoba 14, 1999.

Ikiwa ni miaka 26 tangu kifo chake, TwendeButiama itaendelea kuhamasisha katika kuziishi falsafa zake kupitia elimu, afya na mazingira k**a moja ya falsafa zake za kupambana na maadui watatu wa maendeleo (Ujinga , Umasikini na Maradhi).

Nia yetu k**a TwendeButiama ni kuendelea kuibua hisia za watanzania na dunia kwa ujumla juu ya mchango wa Baba wa Taifa Mwl Julius Kambarage Nyerere katika kudumisha amani, umoja, upendo, mshik**ano, uzalendo.

23/10/2025

Tunamuenzi Baba wa Taifa, kwa vitendo. akizungumzia juu ya msafara wa Twende Butiama kushirikisha vijana, na jinsi msafara huu ni darasa la historia hai.

—————————

Honoring the Father of the Nation is at the heart of the Tour. Here, talks about the Twende Butiama expedition engaging youth, and how this expedition is a living history classroom.

On this Nyerere Day, we celebrate and honor Mwalimu’s timeless call: to serve, to uplift, to unite. Through Twende Butia...
14/10/2025

On this Nyerere Day, we celebrate and honor Mwalimu’s timeless call: to serve, to uplift, to unite. Through Twende Butiama, Vodacom Tanzania and partners bring that vision to life. Bridging health, education, and inclusion across Tanzania.

13/10/2025

Wiki hii, tunapoenda kuadhimisha siku ya kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere, tunarejea hadithi za ujasiri kwenye msafara wetu wa mwaka huu, k**a zile za wanawake *(wawili)* walioendesha baiskeli na kuvuka mikoa 11 ya Tanzania, wakithibitisha kuwa ujumuisho si tu upatikanaji, bali ni ushiriki.

Kutoka Dar es Salaam hadi Butiama, safari yao ni kielelezo cha umoja na nia njema vinavyoendesha Twende Butiama. Pamoja tunapanda, kwa afya, kwa elimu, na kwa mustakabali endelevu wa Tanzania.

Address

Butiama

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when twendebutiama posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category