Bukoba jogging club

Bukoba jogging club Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Bukoba jogging club, Sports, Bukoba.

Mission done
30/05/2026

Mission done

Familia ya bukoba jogging club kwenye majukumu yake ya kila jumamosi ya wiki
17/05/2026

Familia ya bukoba jogging club kwenye majukumu yake ya kila jumamosi ya wiki

Bukoba jogging club katika harakati zake za kuimalisha afya Linapokuja swala la mazoezi basi hatuna utan na mtu
12/05/2026

Bukoba jogging club katika harakati zake za kuimalisha afya
Linapokuja swala la mazoezi basi hatuna utan na mtu

*SOMA MPYA*Bukoba jogging club katika kuhakikisha tunaifikia jamii yenye uhitaji.Mwezi wa 7 mwaka huu tutakuwa na tukio ...
07/05/2026

*SOMA MPYA*

Bukoba jogging club katika kuhakikisha tunaifikia jamii yenye uhitaji.
Mwezi wa 7 mwaka huu tutakuwa na tukio maalumu la kuwapelekea chochote kitu watoto wetu,wadogo zetu,marafiki zetu,ndugu zetu....
Waliopo kwenye vituo vya kulea watoto yatima
Hivo basi wewe kaka,baba,mjombaa....
Unaombwa kuchangia chochote kitu ili tuweze kufikia lengo

NB
*ni heri zaidi kutoa kuliko kupokea*
Na Mungu akubariki

Kwa mwenye chochote tafadhali
Tuma kwa namba
0796778885 (*mpesa*)
Jina Victor Peter

*_Imetolewa na mwenyekiti wa bukoba jogging club Bi.Amina Mlacha._.*

Familia inazidi kukua na kuongezekaWatoto ni taifa la kesho
02/05/2026

Familia inazidi kukua na kuongezeka
Watoto ni taifa la kesho

2 may 2026  DONE✅️
02/05/2026

2 may 2026
DONE✅️

02/05/2026

Jumamosi ya mwezi may tumeianza kwa kishindo kikubwaa
Chama kubwa
Chama la wana
Bukoba jogging club

Happy Sunday!! Greetings from bukoba jogging club
26/04/2026

Happy Sunday!!
Greetings from bukoba jogging club

Kazi na utu ,tunasonga mbele
25/04/2026

Kazi na utu ,tunasonga mbele

Address

Bukoba

Telephone

+255620561216

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Bukoba jogging club posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category