FABI Sports ANGLE

FABI Sports ANGLE Pata Taarifa mbalimbali za Michezo
(1)

23/05/2026

ARSENAL

Kwa heri Kocha
06/05/2026

Kwa heri Kocha

Hii hapa ratiba ya robo fainali ya kombe la Shirikisho Afrika ➡️Al Masry SC vs CR Belouizdad➡️Olympic Club Safi vs Wydad...
17/02/2026

Hii hapa ratiba ya robo fainali ya kombe la Shirikisho Afrika

➡️Al Masry SC vs CR Belouizdad
➡️Olympic Club Safi vs Wydad AC
➡️AS Otohô vs Zamalek SC
➡️AS Maniema Union vs USM Alger

Nnai Unmpa Nafasi Ya Kwenda NUSU FAINALI




FABI Sports ANGLE

Kocha Miguel Gamondi amesaini mkataba wa miaka 2 kuifundisha timu ya taifa ya Tanzania [ Taifa Stars ] hii ni baada ya k...
16/02/2026

Kocha Miguel Gamondi amesaini mkataba wa miaka 2 kuifundisha timu ya taifa ya Tanzania [ Taifa Stars ] hii ni baada ya kukaimu nafasi hiyo kwa muda kwenye AFCON iliyopita na kuifikisha Stars hatua ya 16 bora.

Kwenye Picha : Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) Wallace Karia na Kocha Mkuu wa Timu ya Taifa ya Tanzania Miguel Gamondi wakisaini mkataba.


FABI Sports ANGLE

❤️💙🏆 Paris Saint-Germain waandika historia, waibuka mabingwa baada ya kuifunga FlamengoParis Saint-Germain (PSG) wameand...
17/12/2025

❤️💙🏆 Paris Saint-Germain waandika historia, waibuka mabingwa baada ya kuifunga Flamengo

Paris Saint-Germain (PSG) wameandika historia kubwa katika soka la dunia baada ya kuifunga Flamengo na kutwaa FIFA Intercontinental Cup, ushindi uliowezesha klabu hiyo kukamilisha Sextuple ya kipekee msimu huu.

🏆 Mataji yote yaliyoshindwa na PSG: 🔵 Ligue 1
⚪ Coupe de France
🔴 Trophée des Champions
🇪🇺 UEFA Champions League
🇪🇺 UEFA Super Cup
🌍 FIFA Intercontinental Cup

Ushindi huu unaifanya PSG kuingia kwenye vitabu vya historia k**a moja ya klabu chache duniani zilizowahi kushinda mataji sita makubwa ndani ya msimu mmoja, mafanikio yanayoonyesha ubora, uthabiti na nguvu ya kikosi chao katika ngazi ya ndani na kimataifa.
FABI Sports ANGLE Fabius Clavery

🚨 MAKUNDI YA KOMBE LA DUNIA 2026 ◉  A: Mexico, South Korea, South Africa + Winner Playoff D*◉  B: Canada, Switzerland, Q...
05/12/2025

🚨 MAKUNDI YA KOMBE LA DUNIA 2026

◉ A: Mexico, South Korea, South Africa + Winner Playoff D*
◉ B: Canada, Switzerland, Qatar + Winner Playoff A*
◉ C: Brazil, Morocco, Scotland, Haiti
◉ D: USA, Australia, Paraguay + Winner Playoff C*
◉ E: Germany, Ecuador, Ivory Coast, Curação
◉ F: Netherlands, Japan, Tunisia + Winner Playoff B*
◉ G: Belgium, Iran, Egypt, New Zealand
◉ H: Spain, Uruguay, Saudi Arabia, Cabe Verde
◉ I: France, Senegal, Norway + Winner Playoff 2
◉ J: Argentina, Austria, Algeria, Jorgan
◉ K: Portugal, Colombia, Uzbekistan + Winner Playoff 1
◉ L: England, Croatia, Panama, Ghana

Matokeo ya mechi zote za jana michuano ya Kombe la Dunia ngazi ya klabu
20/06/2025

Matokeo ya mechi zote za jana michuano ya Kombe la Dunia ngazi ya klabu


01/06/2025
LIGI Kuu ya NBC, Ligi namba nne kwa ubora barani Afrika  itarejea Mei 2 kwa mchezo kati ya Simba itakayokuwa mwenyeji wa...
30/04/2025

LIGI Kuu ya NBC, Ligi namba nne kwa ubora barani Afrika itarejea Mei 2 kwa mchezo kati ya Simba itakayokuwa mwenyeji wa timu ya Mashujaa kutoka mkoani Kigoma.

Mchezo huo utachezwa katika uwanja wa KMC Complex uliopo mkoani Dar es Salaam ikiwa ni mchezo wa mzunguko wa 24 uliosogezwa kutokana na timu ya Simba kuwa na ratiba ya michezo ya Kombe la Shirikisho Afrika.

Baada ya mchezo huo timu ya Simba itakuwa na kibarua kingine ugenini katika uwanja wa Meja Jenerali Isamuhyo, Dar watakapokutana na timu ya JKT Tanzania waliyoifunga 1-0 kwenye mchezo wa mzunguko wa kwanza kwa bao la Jean Ahoua aliefunga kwa mkwaju wa penati dakika za nyongeza.

Mei 8 itaikaribisha timu ya Pamba katika uwanja wa KMC Complex kabla ya kwenda ugenini kuvaana na timu ya KMC kwenye uwanja wa Ali Hassan Mwinyi mkoani Tabora.

Tanzania Football Federation

Address

KIBETA
Bukoba

Telephone

+255756321374

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when FABI Sports ANGLE posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to FABI Sports ANGLE:

Shortcuts

Share