Kennedy Lucas Sports Updates

Kennedy Lucas Sports Updates Leading African Football Journalist

Vipi kuna mwenye mashaka na  Pre season ya Simba SC Tanzania ambayo ilifanyika nchini Misri k**a hakuna dondosha comment...
03/08/2024

Vipi kuna mwenye mashaka na Pre season ya Simba SC Tanzania ambayo ilifanyika nchini Misri k**a hakuna dondosha comment yako hapa nchini kwako nani Mchezaji wako bora wa mchezo.
FT Simba SC Tanzania 2-0 APR.


Vipi umekionaje kiwango cha Mshambuliaji mpya wa Simba SC Tanzania,Stephen Mukwala kwa dakika 45 za kipindi cha kwanza.H...
03/08/2024

Vipi umekionaje kiwango cha Mshambuliaji mpya wa Simba SC Tanzania,Stephen Mukwala kwa dakika 45 za kipindi cha kwanza.
HT.Simba SC Tanzania 0-0 APR

Ubaya Ubwela hiki hapa Kikosi cha Mnyama Simba SC Tanzania kinachoanza dhidi ya APR.Mchezo wa kirafiki siku ya Simba Day...
03/08/2024

Ubaya Ubwela hiki hapa Kikosi cha Mnyama Simba SC Tanzania kinachoanza dhidi ya APR.Mchezo wa kirafiki siku ya Simba Day

W***y Esomba Onana hatakuwa miongoni mwa kikosi cha Simba SC (Simba SC Tanzania),msimu wa 2024/25.
03/08/2024

W***y Esomba Onana hatakuwa miongoni mwa kikosi cha Simba SC (Simba SC Tanzania),msimu wa 2024/25.

SIMBA DAY 2024: Unaufuatilia   ukiwa mkoa gani?.Tuko LIVE
03/08/2024

SIMBA DAY 2024: Unaufuatilia ukiwa mkoa gani?.
Tuko LIVE

Wakenya wote; wakiwemo, Faith Kipyegon, Margaret Chelimo na Beatrice Chebet wamefuzu fainali ya mbio za mita 5,000 itaka...
02/08/2024

Wakenya wote; wakiwemo, Faith Kipyegon, Margaret Chelimo na Beatrice Chebet wamefuzu fainali ya mbio za mita 5,000 itakayofanyika Jumatatu kwenye Michezo ya Olimpiki inayoendelea Paris, Ufaransa.

Kenyan coach David Ouma has been nominated for Coach Of the season award in the Tanzania Premier League (NBC Premier Lea...
25/07/2024

Kenyan coach David Ouma has been nominated for Coach Of the season award in the Tanzania Premier League (NBC Premier League

He guided Coastal Union to a fourth-place finish in the Tanzanian Premier League, securing them a spot in the CAF Confederation Cup where they will face Angolan side F.C. Bravos do Maquis.

Ouma will compete for the award against Bruno Ferry of Azam FC and Miguel Gamondi of Yanga.

 : Klabu ya Yanga itacheza dhidi ya Mabingwa wa Kagame Cup timu ya Red Arrows kutoka nchini Zambia kwenye kilele Cha wik...
25/07/2024

: Klabu ya Yanga itacheza dhidi ya Mabingwa wa Kagame Cup timu ya Red Arrows kutoka nchini Zambia kwenye kilele Cha wiki ya Mwananchi ambayo itafanyika Agosti 4 mwaka huu katika uwanja wa Benjamin Mkapa uliopo jijini Dar Es Salaam.

 :Nyota wa zamani wa Mbeya City,Mtibwa Sugar na Dodoma Jiji FC,Salum Kihimbwa amejiunga na Fountain gates k**a mchezaji ...
21/07/2024

:Nyota wa zamani wa Mbeya City,Mtibwa Sugar na Dodoma Jiji FC,Salum Kihimbwa amejiunga na Fountain gates k**a mchezaji huru kwa mkataba wa mwaka mmoja.

Fountain Gates imeweka kambi wilayani Babati Mkoa wa Manyara kwa ajili ya maandalizi ya msimu mpya wa Ligi Kuu Bara 2024/25

 :Simba Queens imenasa saini ya nyota watatu kutoka Yanga Princes,Precious Christopher, Saiti Atinuke na Wincate Kaar.
05/07/2024

:Simba Queens imenasa saini ya nyota watatu kutoka Yanga Princes,Precious Christopher, Saiti Atinuke na Wincate Kaar.

*Ahmed Ally anasema kuna mchezaji wanamleta akitua tu tanzania mitandao ya kutuma pesa itagoma! Sasa tutafanya nini sie ...
02/07/2024

*Ahmed Ally anasema kuna mchezaji wanamleta akitua tu tanzania mitandao ya kutuma pesa itagoma! Sasa tutafanya nini sie pesa zetu huwa zinakaa kwenye mitandao ya simu 🤣

Address

Arusha

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
18:00 - 19:00
Tuesday 09:00 - 17:00
18:00 - 19:00
Wednesday 09:00 - 17:00
18:00 - 19:00
Thursday 09:00 - 17:00
18:00 - 19:00
Friday 09:00 - 17:00
18:00 - 19:00
Saturday 09:00 - 17:00
18:00 - 19:00
Sunday 09:00 - 17:00
18:00 - 19:00

Telephone

0718826360

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Kennedy Lucas Sports Updates posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Kennedy Lucas Sports Updates:

Share

Category