23/09/2025
🎙️ CELESTINE ECUA ::
“Mimi si mchoyo uwanjani k**a ambavyo watu wanasema na ninajua kucheza kwa ushirikiano, jambo ambalo mashabiki wataliona katika mechi zijazo. Michuano ndio kwanza imeanza ni mapema sasa kusema mambo mengi ila kinachohitajika ni kukamilisha malengo ya timu na kuhakikisha unapata nafasi ya kucheza bila kuchambua sana,”
“Hatua ya kuanzia benchini ndani ya timu hiyo wala sio kitu kinachonisumbua, kwani naendelea kujipanga kujipa muda zaidi wa kucheza kupitia muda ninaopatiwa sasa. Ndani ya kikosi kila mchezaji ana kipaji kikubwa ndio maana wale wanaoanza na hata wanaoingia wamekuwa wanahusika kutengeneza ushindi,”
“Kwa wala sioni shida kuanzia benchini na hiyo haimaanishi anayeanzia benchini, sio mchezaji bora ila ni fikra tu za watu.”
USINUNUE TENA MIKEKA CHIMBO HILI HUKU NJOO NIKUUNGE KWENYE GROUP KILA SIKU JISAJILI HAPA👇👇
USINUNUE TENA MIKEKA CHIMBO HILI HUKU NJOO NIKUUNGE KWENYE GROUP KILA SIKU JISAJILI HAPA👇👇
Pata Bonasi ya TSH 10,000 unapojisajili. Karibu tushinde pamoja. https://play.bangbet.com/npats1.html?c=Tu4z4S
KISHA TUMA NENO NIUNGE AU NJOO WHATSAPP 0620 412 0620 412 415