ZA MOTO Sports

ZA MOTO Sports JUMBA LA MICHEZO Follow page na share yetu upate taarifa za kimichezo na uchambuzi

13/08/2026

Marudio sasahivi tukajifunza soka kupitia Yanga

Azam Sports 1 HD

AHMED ALLY ; ASUBUHI YENYE UCHUNGU MKUBWA KWA SIMBA SC ♦️ 🔥 Al hamdullilah tumerejea salama Dsm na moja kwa moja tunaanz...
13/08/2026

AHMED ALLY ; ASUBUHI YENYE UCHUNGU MKUBWA KWA SIMBA SC ♦️ 🔥

Al hamdullilah tumerejea salama Dsm na moja kwa moja tunaanza maandalizi ya mechi ya kwanza ya ligi kuu August 16 dhidi ya Kagera Sugar

Asubuhi yenye uchungu ndio tumeamka nayo, na kwa wengine hawajapata hata usingizi wenyewe

Niwahakikishie Wana Simba Maoni yenu tumeyaona kuyasikia na kutafanyia kazi, yanayohusu maamuzi ya uongozi yanafanyiwa kazi na yanayohusu ufundi pia yanafanyiwa kazi

Tuwe makini sana na baadhi ya watu ambao wanataka kutumia kufungwa kwetu k**a sehemu ya kuamsha migogoro na kudhalilisha viongozi wetu kupitia mchezo mmoja wakijisahaulisha kuwa Viongozi hawa ndio walioshinda Derby mbili kati ya tatu za msimu uliopita

Ukiona mtu anasifia chakula cha Msibani basi jua msiba haumuhusu na ukiona mtu anaibagaza Simba kwa kupoteza mechi moja basi jua ana agenda yenye manufaa na yeye

Tuna mechi tatu ngumu mbele yetu tunatakiwa kujipanga kwa kushinda mechi hizo

Tusikubali matokeo ya jana yakaathiri mechi zetu za mwanzo za ligi kuu

Ishu si kupoteza mchezo wa Leo Wala si kuendeleza mikakati wa kutopata matokeo mazuri Kwa mtani  ishu ni kuona unaweza k...
12/08/2026

Ishu si kupoteza mchezo wa Leo Wala si kuendeleza mikakati wa kutopata matokeo mazuri Kwa mtani ishu ni kuona unaweza kuibiws mchezaji kizembe ambaye anaweza kuwa na impact hasa katika mchezo huu.

Simba wameonesha tatizo lile lile linalowasumbua siku zote fitness ya Simba siku zote ni hovyo kwenye game ngumu game zote ngumu Simba wanaanza Kwa pressure ya juu wanapress Kwa nguvu energy ya kutosha lakini kadri mchezo unavyozidi kuaogea mbele ndivyo wanapunguza nguvu na kumpa mpinzani mchezo.

Yanga hii itawatesa sana wapinzani Wana energy wazee

KARIAKOO DERBY: NGAO YA JAMII 2026➡️ Mchezo Ni Mapumziko 🔰1️⃣🦁0️⃣⚽ Albert Kangwanda Umekionaje Kipindi Cha Kwanza...? Un...
12/08/2026

KARIAKOO DERBY: NGAO YA JAMII 2026

➡️ Mchezo Ni Mapumziko

🔰1️⃣
🦁0️⃣

⚽ Albert Kangwanda

Umekionaje Kipindi Cha Kwanza...? Una Kipi Cha Kuzungumza?

Depu ametambulishwa na Petro de Atletico akisajiliwa kutokea Yanga .  Yanga wamefanya biashara ya B 1+
12/08/2026

Depu ametambulishwa na Petro de Atletico akisajiliwa kutokea Yanga . Yanga wamefanya biashara ya B 1+

Sele kanenepa ghafla
11/08/2026

Sele kanenepa ghafla

Itakuwepo
11/08/2026

Itakuwepo

Klabu ya Simba imefanikiwa kumsajili mshambuliaji Ismail Mgunda
11/08/2026

Klabu ya Simba imefanikiwa kumsajili mshambuliaji Ismail Mgunda

Seleman amefika Zanzibar
11/08/2026

Seleman amefika Zanzibar

NGAO YA JAMII 2026    | "Simba ni timu ya mataji na kesho tunaingia kwa lengo la kushinda taji"Kocha wa Simba SC, Steve ...
11/08/2026

NGAO YA JAMII 2026

| "Simba ni timu ya mataji na kesho tunaingia kwa lengo la kushinda taji"

Kocha wa Simba SC, Steve Barker amesema wamejiandaa vizuri na wako tayari kwa pambano la kesho Agosti 12 dhidi ya Yanga.

"Tunataka kuuanza vizuri msimu mpya wa 2026/27 kwa kuchukua Ngao ya Jamii", amesema Kocha Barker.

Amesema wanaingia kwenye mchezo huo wakitambua ubora wa wapinzani wao, hivyo wamefanya maandalizi kila idara kiufundi, kimwili, kiakili, kihisia na kisaikolojia.

Mwisho Kocha Barker amesema Simba ni timu inayoamini katika ushindi, hivyo anaamini watashinda na kuoeleka furaha Msimbazi.

Address

Arusha

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when ZA MOTO Sports posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to ZA MOTO Sports:

Shortcuts

Share

Category