05/09/2025
Njia sahihi za kujiepusha na maambukizi ya njia ya mkojo (UTI):
✅ 1. Kunywa maji ya kutosha
- Kunywa angalau glasi 6–8 za maji kwa siku kusaidia kusafisha bakteria kwenye kibofu.
✅ 2. Usijizuie mkojo kwa muda mrefu
- Jisaidie mara tu unapohisi kukojoa. Kujizuia mkojo huongeza uwezekano wa bakteria kuzaliana.
✅ 3. Jisafishe kwa usahihi
- Baada ya kujisaidia, safisha kuanzia mbele kwenda nyuma (hasa kwa wanawake) ili kuepuka kupeleka bakteria kutoka sehemu ya haja kubwa hadi njia ya mkojo.
✅ 4. Epuka sabuni na dawa zenye kemikali kali
- Usitumie sabuni au dawa za kusafisha sehemu za siri zenye manukato au kemikali — zinachochea maambukizi
✅ 5. Kojoa baada ya tendo la ndoa
- Husaidia kutoa bakteria walioweza kuingia wakati wa tendo la ndoa.
✅ 6. Vaa nguo za ndani zilizotengenezwa kwa pamba
- Zinasaidia sehemu za siri kuwa kavu na kuzuia ukuaji wa bakteria. Epuka chupi zinazobana sana au za
- call 0693721011 kupata tiba ya uhakika na ushauri zaidi